Mikumi National Park Tour

Mikumi National Park Tour

Tuna mbuga nyingi lakini tunakosa Ubunifu wa kuwavutia watalii. Tungechagua mbuga Moja, tuondoe mashart ya kuwalisha na kuwa peti wanyama wasio na madhara kwa wazungu.

Sheria nyingi mbugani zinawafanya wazungu ambao kimsingi wapo tofauti kabisa na waafrika katika kuthamini wanyama. Kama walikuwa wametengeneza mazingira ya kiusalama na wazungu waruhusiwe kuonyesha upendo wao kwa wanyama kwa kuwalisha ingevutia watalii wengi zaidi
 
Twendeni jamani tusiwaachie wazungu kutalii hifadhi zetu.

Hiyo gharama ni rafiki kabisa kwa kila mwana jf.
Kwaninavyowajua matajiri wa jf hawawezi kwenda huko uswekeni matajiri wa jf ukitaka uwapate mkuu weka safari za Dubai Burj Khalifa height, Brazil, Ibiza Spain huko na New York utawapata wengi sana humu ukiweka to
 
Tuna mbuga nyingi lakini tunakosa Ubunifu wa kuwavutia watalii. Tungechagua mbuga Moja, tuondoe mashart ya kuwalisha na kuwa peti wanyama wasio na madhara kwa wazungu.

Sheria nyingi mbugani zinawafanya wazungu ambao kimsingi wapo tofauti kabisa na waafrika katika kuthamini wanyama. Kama walikuwa wametengeneza mazingira ya kiusalama na wazungu waruhusiwe kuonyesha upendo wao kwa wanyama kwa kuwalisha ingevutia watalii wengi zaidi
Yeah ni kweli, japo kuna wawekezaji wamelitumia ilo wazo kuna eneo la kulisha wanyama lipo wilaya ya siha mkoa wa Kilimanjaro.

Lakini pia kuna baadhi ya hifadhi huwa wanafanya walking safari,
IMG_20231126_152737.png
IMG_20231126_152808.png
IMG_20231126_152752.png
(utalii wa kutembea kwa miguu), wanatumia farasi kuona wanyama pori ndani ya hifadhi mfano hifadhi ya taifa Arusha.
 
Back
Top Bottom