makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Alone alone nitaumia roho, bora nije na malaika wangu ili ibilisi asinisogelee😂🤣Sawa sawa hapo ni sawa tutikuona peke yako tunakutimua kwenye safari😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alone alone nitaumia roho, bora nije na malaika wangu ili ibilisi asinisogelee😂🤣Sawa sawa hapo ni sawa tutikuona peke yako tunakutimua kwenye safari😀
"Bora nije na Malaika wangu ili ibilisi asinisogelee"Alone alone nitaumia roho, bora nije na malaika wangu ili ibilisi asinisogelee😂
Mkuu una kichwa chepesi kung'amua 🤣😂"Bora nije na Malaika wangu ili ibilisi asinisogelee"
😂Mkuu una mistari sanaa!!!
kumbe kutakua na waremboo pia!
Sasa mimi sehemu kukiwa na warembo sipendi kukaa sababu shingo itauma kugeukageuka kushangaa uumbaji wa Mu
Hujatulia mkuu😂kumbe kutakua na waremboo pia!
Sasa mimi sehemu kukiwa na warembo sipendi kukaa sababu shingo itauma kugeukageuka kushangaa uumbaji wa Mungu!
Kama wewe!😂Hujatulia mkuu😂
Mimi nimetulia sana yani, pastor la mapastor😂Kama wewe!😂
HongeraMimi nimetulia sana yani, pastor la mapastor😂
Ni kilimo mkuuHizo shughuli nyinginezo ni zipi, naomba kufafanuliwa!😁
Hamna noma......Hazinaga shida, ukitaka luxury tent ni pesa yako...hiyo ina hadi bafu ndani
Kwaninavyowajua matajiri wa jf hawawezi kwenda huko uswekeni matajiri wa jf ukitaka uwapate mkuu weka safari za Dubai Burj Khalifa height, Brazil, Ibiza Spain huko na New York utawapata wengi sana humu ukiweka toTwendeni jamani tusiwaachie wazungu kutalii hifadhi zetu.
Hiyo gharama ni rafiki kabisa kwa kila mwana jf.
Halafu wale matajiri wa ughaibuni ndio wateja wakubwa wa uswekeni, sijui sasa hapo ni matajiri wepi ndio wenye akili kubwa kati ya hayo makundi.Kwaninavyowajua matajiri wa jf hawawezi kwenda huko uswekeni
Ni Jambo jema, Ni kwenda kujifunza Mambo mapya na kuongeza marafiki
Karibu sana
Yeah ni kweli, japo kuna wawekezaji wamelitumia ilo wazo kuna eneo la kulisha wanyama lipo wilaya ya siha mkoa wa Kilimanjaro.Tuna mbuga nyingi lakini tunakosa Ubunifu wa kuwavutia watalii. Tungechagua mbuga Moja, tuondoe mashart ya kuwalisha na kuwa peti wanyama wasio na madhara kwa wazungu.
Sheria nyingi mbugani zinawafanya wazungu ambao kimsingi wapo tofauti kabisa na waafrika katika kuthamini wanyama. Kama walikuwa wametengeneza mazingira ya kiusalama na wazungu waruhusiwe kuonyesha upendo wao kwa wanyama kwa kuwalisha ingevutia watalii wengi zaidi
Mikumi ni hifadhi ambayo wanyama muda wote unawaonaKusema kweli nilikua niende mikumi ila naona huko patageuka uwanja wa taifa na wanyama wanaweza jificha.
Nimeamua kwenda kizimkazi.