PreGE2025 Mikumi: Umati wa Wananchi wahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Shughuli zasimama kwa muda

PreGE2025 Mikumi: Umati wa Wananchi wahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Shughuli zasimama kwa muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ni saa 7 Mchana leo hii na hapa ni kata ya Ruaha.

Umati wa Wananchi wahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Shughuli zasimama kwa muda.

Screenshot_2025-06-06-14-42-19-1.png
Screenshot_2025-06-06-14-42-08-1.png
Screenshot_2025-06-06-14-42-35-2.png
Screenshot_2025-06-06-14-57-46-1.png
 
Hii ndiyo sababu ccm hawataki uchaguzi wa huru, uwazi na Haki....kwa sababu wanajua hawatoboi.
 
NO REFORM, NO ELECTION

Na huku siyo mjini; hiyo inakwambia kitu gani?

Samia is Doomed.
 
Back
Top Bottom