Mkuu,Hii ni saa 7 Mchana leo hii na hapa ni kata ya Ruaha.
Umati wa Wananchi wahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Shughuli zasimama kwa muda.
View attachment 3358008View attachment 3358012View attachment 3358013View attachment 3358022
Mungu Ibariki CHADEMAHii ni saa 7 Mchana leo hii na hapa ni kata ya Ruaha.
Umati wa Wananchi wahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Shughuli zasimama kwa muda.
View attachment 3358008View attachment 3358012View attachment 3358013View attachment 3358022
Aisee kinachoendelea si habaMipango na ratiba za Mungu ni timulifu na kwa wakati sahihi.
Dhalimu magu mwenyewe mbali ya kuwabania, bado ilibidi apore mchakato wa uchaguzi ili atangazwe kwa ushindi alioutamani.Jpm only time aliwawezea hawa jamaa ni kuwabania kupiga kampeni.
Ila hapa walipofika ni wanazidi kutoa watu usingizin
HahahaChadema inakufa kabla ya 2020
Hata jpm alienda extra mile lakini bado uchaguzi haukuwa upande wake.Jpm only time aliwawezea hawa jamaa ni kuwabania kupiga kampeni.
Ila hapa walipofika ni wanazidi kutoa watu usingizin