Kilichobakia ni hao Polisi wanaowatumia kufanya ubaradhuli wao na wenyewe wawageuke na hatua hiyo haiko mbali sana,nchi imeanza kuiva kwa mapinduzi ya kifikra na ikibidi ya kijeshi kwani hawa askari nao ni raia wa nchi hii na haya madhila yanayoletwa na CCM yanawahusu piaKuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua!
Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa after effcts!. Siku woga ukiwatoka watakuwa kama Turkey ilivyo sasa!
chadema ndio mkombozi na tuΜmaini pekeeKuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua!
Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa after effcts!. Siku woga ukiwatoka watakuwa kama Turkey ilivyo sasa!
Mamb ya AI editing haha. Hizo gari ni nyeupe but ujumbe umeelewekaKumeanza kuchangamkaView attachment 3282944
Watafiti wake walishaliona hili. Wakaona wasiambulie aibu.Mwanzo nilikuwa nahoji sana wenzangu. Mbona mabango ya Samia yanakuwa kero sana, kuna sababu gani ya kuingia gharama zote hizo wakati anakubalika kwa wananchi?
Sasa ndiyo napata majibu kwa nini Samia ana struggle sana. Halafu hata watumishi wanafuatilia Lissu kimya kimya. Mara kadhaa ukiingia ofisini unakuta jamaa kaweka kaclip ka Lissu anasikilizia. Kwa serikali hiyo ni red flag
Sugu huwa namwelewa sana! Huwa linajua kujenga hoja!Kilichobakia ni hao Polisi wanaowatumia kufanya ubaradhuli wao na wenyewe wawageuke na hatua hiyo haiko mbali sana,nchi imeanza kuiva kwa mapinduzi ya kifikra na ikibidi ya kijeshi kwani hawa askari nao ni raia wa nchi hii na haya madhila yanayoletwa na CCM yanawahusu pia
Anaitendea haki Hip hopSugu huwa namwelewa sana! Huwa linajua kujenga hoja!
Mdogo mdogo wataelewa tuSugu huwa namwelewa sana! Huwa linajua kujenga hoja!
100%Kama wewe siyo fisadi, jangili la mali za umma, muuza unga, tapeli, mtoto au ndugu ya mafisadi huwezi kuipenda CCM hata kwa sekundi moja
NI utawala wa hovyo sn huuMwanzo nilikuwa nahoji sana wenzangu. Mbona mabango ya Samia yanakuwa kero sana, kuna sababu gani ya kuingia gharama zote hizo wakati anakubalika kwa wananchi?
Sasa ndiyo napata majibu kwa nini Samia ana struggle sana. Halafu hata watumishi wanafuatilia Lissu kimya kimya. Mara kadhaa ukiingia ofisini unakuta jamaa kaweka kaclip ka Lissu anasikilizia. Kwa serikali hiyo ni red flag
π π πNI utawala wa hovyo sn huu
Likaishia Wapi?Tatzo lilianzia VETA
Anything can happen, Muda ni MwalimuCCM wakiendelea kufanya mambo yao kwa ule mwendo wao 'business as usual' safari hii wanaweza kuja kuumbuka vibaya.
Wanaweza wakashinda sababu ya nguvu ya dola ila kuna dalili ukawa ndio ushindi wao wa mwisho sababu ya athari zitakazotokana na uchaguzi wa 2025.