Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,940
.
Atajibu PMLikaishia Wapi?
Wamesahau kuandika POLICCM milangoni kwenye hayo mashangingi.Kumeanza kuchangamkaView attachment 3282944
Kwa mfumo wetu wa uchaguzi na sheria zake, hata wapiga kura wote waikatae CCM bado watashinda kwa kishindo.Mwanzo nilikuwa nahoji sana wenzangu. Mbona mabango ya Samia yanakuwa kero sana, kuna sababu gani ya kuingia gharama zote hizo wakati anakubalika kwa wananchi?
Sasa ndiyo napata majibu kwa nini Samia ana struggle sana. Halafu hata watumishi wanafuatilia Lissu kimya kimya. Mara kadhaa ukiingia ofisini unakuta jamaa kaweka kaclip ka Lissu anasikilizia. Kwa serikali hiyo ni red flag
Hakika mkuuKama wewe siyo fisadi, jangili la mali za umma, muuza unga, tapeli, mtoto au ndugu ya mafisadi huwezi kuipenda CCM hata kwa sekundi moja
Hatari snHakika mkuu