Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

Kwa mfumo wetu wa uchaguzi na sheria zake, hata wapiga kura wote waikatae CCM bado watashinda kwa kishindo.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…