Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ndio Ukweli japo ni mchungu

Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote

Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo

Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto"

Jumatano iwe Njema kwako, amen!
 
Hilo halina kipingamizi Chadema inakubalika kwa asilimia 100, tukipata katiba mpya tutegemee kushuhufia chama tawala ni Chadema chini ya mtetezi wa haki za binadamu Tundu Lissu.
 
Hawasombwi na malori kama nyumbu wa mtaa wa saba watu wanakuja wenyewe wakiwa na nyuso za furaha kama vile ndio chama tawala. Ukiwangalia watu unaona.

Sura zao zinatafsiri kujaa matumaini na Chadema kizung ni Promising future. Toka nimeifahamu Chadema sijawahi kujuta ni chama kibunifu kinachoenda na wakati.
 
Sasa msanii wa nini CHADEMA wakati huyo Tundu ni msanii tosha kama wengine
 
Utadhani sio wewe mkuu wangu.

Kweli sometimes malaika wa kheri nao utembelea motoni!
 
Huo ndio Ukweli japo ni mchungu

Mikutano ya Chadema inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote

Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo

Tukubali tu kuna maeneo Chadema wako vizuri hasa ya " Mvuto"

Jumatano iwe Njema kwako, amen!
SSH kwa Lisu hawezi toboa
 
Back
Top Bottom