johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌✌✌✌Mvuto
Siku hizi anakula kitipula...unakijua?Usipopigaga mdindifu unakuwaga mnofu hela mwagito.🙏😜
Ndiyo kipi hicho be?Siku hizi anakula kitipula...unakijua?
Hahhahha wanatwanga mahindi mabichi yanafugwa hapo yakuwa uji uji .wanayfunga kwa maganda ya mahindi wanapika .Ndiyo kipi hicho be?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usipopigaga mdindifu unakuwaga mnofu hela mwagito.[emoji120][emoji12]
Kwa hiyo ni@johnbaptist mzee wa kitipula?Hahhahha wanatwanga mahindi mabichi yanafugwa hapo yakuwa uji uji .wanayfunga kwa maganda ya mahindi wanapika .
Kitipula na ng'ing'iKwa hiyo ni@johnbaptist mzee wa kitipula?
SSH kwa Lisu hawezi toboaHuo ndio Ukweli japo ni mchungu
Mikutano ya Chadema inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote
Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo
Tukubali tu kuna maeneo Chadema wako vizuri hasa ya " Mvuto"
Jumatano iwe Njema kwako, amen!