Mikutano ya CHADEMA ijikite kuzungumzia MO29, Lissu, Utekaji na Mauaji yanayoendelea , ijikite kuwatia Wananchi Huzuni na Hasira !! LEMA SHITUKA!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.

Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29, ilikua ni HAKI ZAO ZA KISIASA yaan kuzuiliwa kwa CHADEMA, kukamatwa kwa Lissu.

Ni Ukweli huohuo kwamba, CCM hawakua na Uchaguzi mwingine zaidi ya Kuiruhusu CHADEMA Kufanya Siasa zao , CCM kwa Matukio ya Oktoba 29 hawana kabisa namna yoyote ta kuendelea kuipiga Pini Chadema.

Nini kinatafutwa sasa ??.

CCM wanachokitaka ni HII MIKUTANO YA CHADEMA ,kuonyesha DUNIANI kua Mbonaa wapinzani wanafanya Mikutano yaooooo tuu.

NINI CHADEMA IFANYE ??.

Chadema inapaswa KUEPUKA KABISA ,KUA KAMA WANAFANYA MIKUTANO KWAKUA YALOPITA SI NDWELE .......

Chadema ifanye mikutano,itakayoamusha hisia za hazuni kwa waliouliwa ndugu zao oktoba 29, waliotekwa, wanaoendelea kuuliwa , masuala ya lissu n.k.

Kwa ufupi, chadema isitoke nje ya reli , zilezile hoja zilizofanya Lissu anakamatwa, Chadema inafungiwa , hoja zilezile zilizopelekea watu kutekwa na kuuliwa , hoja zilezile zilizofanya watu tukaandamana, basi zizungumzwe sanaaaa.

Watu wakumbushwe Mauaji ya kínyama yalivyofanywa na CCM, wakumbushwe Utekaji ,Mauaji yanayoendelea, wakumbushwe Lissu.

Mwisho:
Samia na CCM yake wanahitaji kupelekewa Motooo tu ,Chama kusifanye Siasa nyepesi .
 
LEMA anatakiwa ajue anger ya wananchi ndiyo political fuel ya mabadiliko.

Ukianza soft politics mapema sana, unaipa CCM breathing space ya ku reset narrative.
Sahihi kabisa, Jamaa anafanya Siasa nyepesi na laini utadhani kwamba Wananchi wameishaikubali hii Serikali.

Samia anatakiwa kupelekewa Moto ndani na Nje.
 
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.

Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29, ilikua ni HAKI ZAO ZA KISIASA yaan kuzuiliwa kwa CHADEMA, kukamatwa kwa Lissu.

Ni Ukweli huohuo kwamba, CCM hawakua na Uchaguzi mwingine zaidi ya Kuiruhusu CHADEMA Kufanya Siasa zao , CCM kwa Matukio ya Oktoba 29 hawana kabisa namna yoyote ta kuendelea kuipiga Pini Chadema.

Nini kinatafutwa sasa ??.

CCM wanachokitaka ni HII MIKUTANO YA CHADEMA ,kuonyesha DUNIANI kua Mbonaa wapinzani wanafanya Mikutano yaooooo tuu.

NINI CHADEMA IFANYE ??.

Chadema inapaswa KUEPUKA KABISA ,KUA KAMA WANAFANYA MIKUTANO KWAKUA YALOPITA SI NDWELE .......

Chadema ifanye mikutano,itakayoamusha hisia za hazuni kwa waliouliwa ndugu zao oktoba 29, waliotekwa, wanaoendelea kuuliwa , masuala ya lissu n.k.

Kwa ufupi, chadema isitoke nje ya reli , zilezile hoja zilizofanya Lissu anakamatwa, Chadema inafungiwa , hoja zilezile zilizopelekea watu kutekwa na kuuliwa , hoja zilezile zilizofanya watu tukaandamana, basi zizungumzwe sanaaaa.

Watu wakumbushwe Mauaji ya kínyama yalivyofanywa na CCM, wakumbushwe Utekaji ,Mauaji yanayoendelea, wakumbushwe Lissu.

Mwisho:
Samia na CCM yake wanahitaji kupelekewa Motooo tu ,Chama kusifanye Siasa nyepesi .
Nashauri utafutwe ukweli wa kilichojiri kwa haki bila mikono yaccm kwani wanatafuta kujiosha kwa uovu wao wamiaka yote tangu uhuru.Naamini shauri zingine ni za kuwinda mchawi alikuwa nani.Hivyo kila mmoja akubali yaliyotokea yamesha tokea nani kaonewa ni nani anaendelea kuonewa hayo yasemwe kwa uwazi ili haki za msingi ziheshimiwe.
 
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.

Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29, ilikua ni HAKI ZAO ZA KISIASA yaan kuzuiliwa kwa CHADEMA, kukamatwa kwa Lissu.

Ni Ukweli huohuo kwamba, CCM hawakua na Uchaguzi mwingine zaidi ya Kuiruhusu CHADEMA Kufanya Siasa zao , CCM kwa Matukio ya Oktoba 29 hawana kabisa namna yoyote ta kuendelea kuipiga Pini Chadema.

Nini kinatafutwa sasa ??.

CCM wanachokitaka ni HII MIKUTANO YA CHADEMA ,kuonyesha DUNIANI kua Mbonaa wapinzani wanafanya Mikutano yaooooo tuu.

NINI CHADEMA IFANYE ??.

Chadema inapaswa KUEPUKA KABISA ,KUA KAMA WANAFANYA MIKUTANO KWAKUA YALOPITA SI NDWELE .......

Chadema ifanye mikutano,itakayoamusha hisia za hazuni kwa waliouliwa ndugu zao oktoba 29, waliotekwa, wanaoendelea kuuliwa , masuala ya lissu n.k.

Kwa ufupi, chadema isitoke nje ya reli , zilezile hoja zilizofanya Lissu anakamatwa, Chadema inafungiwa , hoja zilezile zilizopelekea watu kutekwa na kuuliwa , hoja zilezile zilizofanya watu tukaandamana, basi zizungumzwe sanaaaa.

Watu wakumbushwe Mauaji ya kínyama yalivyofanywa na CCM, wakumbushwe Utekaji ,Mauaji yanayoendelea, wakumbushwe Lissu.

Mwisho:
Samia na CCM yake wanahitaji kupelekewa Motooo tu ,Chama kusifanye Siasa nyepesi .
Wewe ni mpumbavu. Mkutano wa Godbless Lema, halafu wewe pimbi ndiyo umfundishe Lema cha kuongea??

Kwa nini na wewe usichukue microphone na kwenda Arusha kisha itisha mkutano uongee hayo unayoyataka? Pumbavu sana
 
Screenshot_20260417-113057~2.png
 
Wewe ni mpumbavu. Mkutano wa Godbless Lema, halafu wewe pimbi ndiyo umfundishe Lema cha kuongea??

Kwa nini na wewe usichukue microphone na kwenda Arusha kisha itisha mkutano uongee hayo unayoyataka? Pumbavu sana
Lema aache lugha za kujidogosha kwa majizi. Aseme bila kuuma maneno kwamba serekali hii iko madarakani kwa kunajisi uchaguzi, na kufanya mauaji makubwa. Na hakuna maridhiano na wauaji.
 
Mkuu Tindo kwa nini wewe usiende jukwaani na kusema maneno hayo? Instead unataka aseme Godbless Lema?
 
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.

Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29, ilikua ni HAKI ZAO ZA KISIASA yaan kuzuiliwa kwa CHADEMA, kukamatwa kwa Lissu.

Ni Ukweli huohuo kwamba, CCM hawakua na Uchaguzi mwingine zaidi ya Kuiruhusu CHADEMA Kufanya Siasa zao , CCM kwa Matukio ya Oktoba 29 hawana kabisa namna yoyote ta kuendelea kuipiga Pini Chadema.

Nini kinatafutwa sasa ??.

CCM wanachokitaka ni HII MIKUTANO YA CHADEMA ,kuonyesha DUNIANI kua Mbonaa wapinzani wanafanya Mikutano yaooooo tuu.

NINI CHADEMA IFANYE ??.

Chadema inapaswa KUEPUKA KABISA ,KUA KAMA WANAFANYA MIKUTANO KWAKUA YALOPITA SI NDWELE .......

Chadema ifanye mikutano,itakayoamusha hisia za hazuni kwa waliouliwa ndugu zao oktoba 29, waliotekwa, wanaoendelea kuuliwa , masuala ya lissu n.k.

Kwa ufupi, chadema isitoke nje ya reli , zilezile hoja zilizofanya Lissu anakamatwa, Chadema inafungiwa , hoja zilezile zilizopelekea watu kutekwa na kuuliwa , hoja zilezile zilizofanya watu tukaandamana, basi zizungumzwe sanaaaa.

Watu wakumbushwe Mauaji ya kínyama yalivyofanywa na CCM, wakumbushwe Utekaji ,Mauaji yanayoendelea, wakumbushwe Lissu.

Mwisho:
Samia na CCM yake wanahitaji kupelekewa Motooo tu ,Chama kusifanye Siasa nyepesi .
Uko sahihi mno mno. Kwa mfano nimesikia Lema anasema 2030 CHADEMA itashinda uchaguzi. Hii ni kama kukubali kilichotokea na kusema yaliyopita siyo ndwele... Mikutano ya CHADEMA ijikite kwenye 1. matukio ya kutekwa kabla ya uchaguzi 2. mauaji wakati wa uchaguzi 3. tume huru ya kuchunguza 4. hatua kali kwa watakaobainika kuwa na makosa pamoja na fidia 5. mabadiliko makubwa.
 
miCCM inataka SIASA za NGINJANGINJA , kumbuka CUF ile OG ya Maalim Seifu, hadi wakakubali MUAFAKA,..nje ya hapo tutasubiri sana...na muelekeo/style yaa Lissu ni sahihi ,chama kipite mumo humo
 
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.

Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29, ilikua ni HAKI ZAO ZA KISIASA yaan kuzuiliwa kwa CHADEMA, kukamatwa kwa Lissu.

Ni Ukweli huohuo kwamba, CCM hawakua na Uchaguzi mwingine zaidi ya Kuiruhusu CHADEMA Kufanya Siasa zao , CCM kwa Matukio ya Oktoba 29 hawana kabisa namna yoyote ta kuendelea kuipiga Pini Chadema.

Nini kinatafutwa sasa ??.

CCM wanachokitaka ni HII MIKUTANO YA CHADEMA ,kuonyesha DUNIANI kua Mbonaa wapinzani wanafanya Mikutano yaooooo tuu.

NINI CHADEMA IFANYE ??.

Chadema inapaswa KUEPUKA KABISA ,KUA KAMA WANAFANYA MIKUTANO KWAKUA YALOPITA SI NDWELE .......

Chadema ifanye mikutano,itakayoamusha hisia za hazuni kwa waliouliwa ndugu zao oktoba 29, waliotekwa, wanaoendelea kuuliwa , masuala ya lissu n.k.

Kwa ufupi, chadema isitoke nje ya reli , zilezile hoja zilizofanya Lissu anakamatwa, Chadema inafungiwa , hoja zilezile zilizopelekea watu kutekwa na kuuliwa , hoja zilezile zilizofanya watu tukaandamana, basi zizungumzwe sanaaaa.

Watu wakumbushwe Mauaji ya kínyama yalivyofanywa na CCM, wakumbushwe Utekaji ,Mauaji yanayoendelea, wakumbushwe Lissu.

Mwisho:
Samia na CCM yake wanahitaji kupelekewa Motooo tu ,Chama kusifanye Siasa nyepesi .
Sawa, panda wewe jukwaani ufanye siasa uipendayo. Lema kafanya alivyofanya
 
Uko sahihi mno mno. Kwa mfano nimesikia Lema anasema 2030 CHADEMA itashinda uchaguzi. Hii ni kama kukubali kilichotokea na kusema yaliyopita siyo ndwele... Mikutano ya CHADEMA ijikite kwenye 1. matukio ya kutekwa kabla ya uchaguzi 2. mauaji wakati wa uchaguzi 3. tume huru ya kuchunguza 4. hatua kali kwa watakaobainika kuwa na makosa pamoja na fidia 5. mabadiliko makubwa.
Fanya wewe siasa hizo. Lema hataki
 
Back
Top Bottom