Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.
Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.
Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa