Mikutano ya CHADEMA yadorora

Mikutano ya CHADEMA yadorora

Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.

Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.

Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa

View attachment 2703874
 
A

Acha kututupiamo tupicha picha twako twakukombeleza😂
 
Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.

Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.

Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa

View attachment 2703874
Mlisema Chadema ilishakufa, bado tu mnaongea?
 
Picha ya chini wamesombwa na mabasi,wakati ya juu wamesombwa na mapenzi Kwa chadema
 
Ni ukweli kabisa umesema mkuu mikutano ya CHADEMA haina watu kulinganisha na mikutano ya CCM lkn tofauti kidogo ipo CCM wakiwa Mwanza (kirumba) walilrta karibia watu wa mikoa yote ya kanda ya ziwa (nadhan hata ww uliona mabango ya watu kutoka kwimba, ukerewe nk)

Unadhani watu hao wametoka huko walikotoka kwa mapenzi yao na kwa gharama zao? Mfano mdogo tu kutoka Bukoba mjini kufika Mwanza kwa basi haipungui Tsh 40,000/- kwenda na kurudi plus chakula, hii ni tafsiri kuwa watu wamesombwa kutoka huko walikotoka, lkn pia lile lilikuwa ni tamasha watu walienda kumuona msanii Harmonize

Wakati mkutano unaendelea watu walikuwa bize kufanya yao alipoitwa msanii huyo umakini uliongezeka uwanjani na baada ya hapo alipoondoka tu kuna raia walianza kutoka uwanjani nikaona UVCCM wanasema nanukuu "jamani tulieni Harmonize atarudi tena"

Lkn hao watu wanaohuduria mikutano ya CHADEMA hata ukiwaangalia utulivu na usikivu wao ni mkubwa maanake wameenda kwa mapenzi, lkn pia mikutano mingi ya CHADEMA haina watoto wa shule
 
Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.

Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.

Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa

View attachment 2703874
Wewe mleta mada bora ufe tu! Huna faida duniani wala mbinguni. Rudi kwenu kuzimu.
 
Zama zimebadilika siku hizi watu wanafuatilia mikitano online, kwa hiyo usione hivyo uka conclude, maana kinacho zungumzwa sehemu yeyote ukienda YouTube unakipata.
 
Back
Top Bottom