Wewe ni juha na sijui wewe ni mruli wa wapi kiasi kwamba umekuwa na njaa mpaka kichwani.Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya Chadema maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.
Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.
Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa
View attachment 2703874
Nyie nyau chadema gani bado mjaiwaza?Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya Chadema maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.
Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.
Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa
View attachment 2703874
Hii picha haijajitosheleza inawezekana imepigwa mapema sana wakati vyombo vinafungwa na watu wanaanza kujikusanya....
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza fuatilia mikutano ya watu wanasema nchi inauzwa tangu lini nchi ikauzwaSasa hivi tuna angalia HOJA siyo makumi, mamia au maelfu ya watu kwenye Mikutano.
Unaweza kukuta Watu 10 lakini wanaongalia live kupitia Mitandao ni Maelfu.
Technology speaks alot.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hususan Mbowe🤣Konyagi haijawahi kumwacha mtu salama!
Kwa nini isiwe mtoa uzi?Hususan Mbowe🤣
Japo siwakubari CDM ila ujue mikutano ya CDM ni ya kata, ya CCM ni ya Kanda nzima na mabasi juu. Hao wa CDM wamekuja kwa mguu.Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.
Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.
Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa
View attachment 2703874
Nasikia Mbowe alivunjika mguuu baada ya kubugia konyagi kupitiliza🤣🤣Kwa nini isiwe mtoa uzi?
Konyagi very expensive. Chimpumu BabaKonyagi haijawahi kumwacha mtu salama!
Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.
Jionee picha maelfu ya watanzania waliojitokeza kwenye mkutano wa kuona mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu.
Hii inanipa picha kwamba 2025 hatutahangaika na campaign maana kwa maendeleo anayoyafanya Rais Samia Suluhu atapita bila kupingwa
View attachment 2703874
Lisu anawaharibu sana vijana...wanaiga kutukana😂Wewe ni juha na sijui wewe ni mruli wa wapi
Dah, mkuu umekwama haki ya nani!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CHADEMA msipomwomba msamaha hawara wa Dr Slaa, Bi Josephine, mtaendelea kutaabika.
Bwahahahahahaaaaaa!Japo siwakubari CDM ila ujue mikutano ya CDM ni ya kata, ya CCM ni ya Kanda nzima na mabasi juu. Hao wa CDM wamekuja kwa mguu.
Pili, CDM wanakazi kubwa sana ya kusafisha Magufuli na ikibidi waombe msamaha kwa watamzania hasa wa Kanda ya Ziwa.
CCM watu wanabebwa na malori vijijini wanakusanywa kwenda kwenye mikutano ya chama.Watanzania wasusia mikutano ya upotoshaji ya CHADEMA maana watanzania wameelimishwa kuhusu uwekezaji na sasa wanajua uwekezaji huu unaendelea kuifungua Tanzania kiuchumi na unaenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha bishara na usafirishaji.