Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili.
Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika Kumpongeza rais kwa jambo jema sio lazima iwe Mikutano ya hadhara Tena Kila mkoa ni kama mnashindana au ni amri,.kutimiza miaka miwili kazini ni sehemu ya majukumu yake. Kila Mmoja akipata kazi aweke mkutano Kila mwaka kusherehekea haileti maana yoyote!
Tafuteni njia nyingine ya kufikisha pongezi msitumie hiyo Mikutano kupiga Mali za umma na kutumia vibaya muda wenu!