Safari kuelekea ukombozi kamili haijawahi kuwa rahisi.
Waliozuia mikutano ya hadhara kwa sababu zile ni hawa hawa walioiruhusu leo kwa sababu hizi. Hivi kwa kumchuuza nani vile?
Kwamba tuwapongeze sasa kwa lipi kwenye kuamua kuanza kuiheshimu katiba?
Nani asiyejua walijua nini yalikuwa maazimio yetu kama wangeendelea kushupaza shingo.
Kama wanadhani yetu ni kwenda ikulu tu, mbona wanajidanganya big time.
Kwani wahuni bado wangalipo? Tozo batili na tozo za Mwigulu zingalipo? Vipi fyongo za mamlaka kucha kutwa kumwonea mwananchi? Vipi wao kuendelea kulamba asali huku wakiwa hawalipi kodi na kutusokomezea sisi mzigo?
Vipi watuhumiwa kupotelea au kufia mikononi mwa polisi?
Yajayo yanafurahisha.
Tuungane kuwakataa wahuni!