Mikutano ya teuzi za CHADEMA kwa ajili ya uchaguzi 2020 kutokuwa live kwenye mainstream media: je, chama kiliomba na kukataliwa au hakikuomba kabisa?

Ili kupata jibu la swali lako ni budi kujiuliza:
√ Kuna vyombo vya habari nchini vinavyomilikiwa na watu binafsi?
√ Je, kuna ushahidi kwamba vyama vya upinzani vilitaka mikutano yao kurushwa mubhashara, vikawa tayari kulipia, vikamyimwa nafasi?
yeah, hapa tuko kwenye ukurasa mmoja.

wenye uwezo wa kutupa majibu sahihi ni Chadema wenyewe!

CHADEMA
 
Jibu ndo hilo ACT ni programu ya Chama tawala kupunguza nguvu ya Chadema so wao kuoneshwa live na channel zenu uchwara ni moja ya mipango mikakati ya CCM kuua nguvu ya Chadema
Acha mawazo uchwara semeni tu hamna hela ya kuwalipa basi na si vinginevyo sio kila kitu kusingizia CCM!.
 
Kama hawakuomba ni makosa makubwa sana. Mimi ni Chadema damu damu na hii ilikuwa ni nafasi nzuri sana ya Chadema kujitangaza Nchi nzima ili kuwahakikishia Watanzania kwamba chama kiko hai kupambana na maccm.

Ikumbukwe maccm yanasambaza uzushi kwamba Chadema ILISHAJIFIA.

taratibu ndugu, hii game weka mbali na hasira...

swali langu #1:
(a) waliomba?
(b) kwa nini walinyimwa?

swali langu #2:
(a) hawakuomba?
(b) kama hawakuomba, kwa nini?
 
Kama hawakuomba ni makosa makubwa sana. Mimi ni Chadema damu damu na hii ilikuwa ni nafasi nzuri sana ya Chadema kujitangaza Nchi nzima ili kuwahakikishia Watanzania kwamba chama kiko hai kupambana na maccm.

Ikumbukwe maccm yanasambaza uzushi kwamba Chadema ILISHAJIFIA.
kabisa kabisa mkuu.

kama hawakufanya mpango wowote (which I doubt kwani I regard Chadema so highly kwenye umakini) it's tantamount to a false start technically.

Chadema inabidi wawe so aggressive katika kuji promote kupitia mainstream media. kama ni gharama basi kasma ya media campaign iwe ni moja ya gharama zinazohitajika kutengewa fungu la kutosha.

CHADEMA
 
Nakubaliana nawe Mkuu na kama waliomba wakakataliwa waseme hadharani ili tuujue ukweli kwani kwenye kampeni ambazo zitaanza hivi karibuni mainstream media ukiondoa TBC ni muhimu sana katika kufikisha sera za Chadema kwa Watanzania.

kabisa kabisa mkuu.

kama hawakufanya mpango wowote (which I doubt kwani I regard Chadema so highly kwenye umakini) it's tantamount to a false start technically.

Chadema inabidi wawe so aggressive katika kuji promote kupitia mainstream media. kama ni gharama basi kasma ya media campaign iwe ni moja ya gharama zinazohitajika kutengewa fungu la kutosha.

CHADEMA
 
Unajua siye wengine hapa ni CCM.
Lakini tangu misingi ya chama ianze kukiukwa baada ya Mwalimu JKN kuondoka (RIP mzee), sisi wana CCM asilia tumejikuta njia panda na imefikia mahala tumejikuta tunatamani chama chetu kiwekwe benchi na upinzani ili kiamke usingizini.

Ndiyo maana mnatusoma mara kadhaa humu jukwaani tuki sympathize na kambi ya upinzani, hususani chini ya awamu hii ya 5 ambapo tumeshuhudia katiba ikisiginwa wazi wazi na haki za binadamu zikikandamizwa.

Lakini nimejiuliza kuhusu mikutano 2 mikubwa ya Chadema (Baraza Kuu na Mkutano Mkuu) ikifanyika bila live media coverage. Wakati huo huo naona kesho mkutano wa ACT utakuwa na live coverage ya TV (ITV).

Ndiposa najikuta najiuliza mwenyewe.... Chadema wamekwama wapi kufanikisha hili ambalo wenzao ACT wameweza kufanikisha? Chadema waliomba wakakataliwa au hawakuomba kabisa? Kama walikataliwa ni kwa nini?
Na kama hawakuomba ni kwa nini?

These pertinent questions ni kwa nia njema kabisa ya kuondoa mzizi wa tatizo tunapoelekea October kwani hata sisi CCM baadhi yetu tunataka kuona upinzani unashika dola sasa, huku Tundu Lissu akiwa our new head of state.

CHADEMA Chadema Diaspora
We simama uhesabiwe wenyewe wataunga tela uwepo wa Mungu ni zaidi ya hizo media zote 2020 tunaenda na mpango wa Mungu 2020 ni yeye ni Lisu
 
Mtu anauliza maswali ya msingi ajabu wengine wanaleta viroja tu badala ya kujibu hoja sijui tumepatwa na nini?
Mkuu mashabiki wa chadema akili zao ni kibangi kama mgombea wao
 
Jibu ndo hilo ACT ni programu ya Chama tawala kupunguza nguvu ya Chadema so wao kuoneshwa live na channel zenu uchwara ni moja ya mipango mikakati ya CCM kuua nguvu ya Chadema
Kwahiyo ACT wakisema watamuunga mkono Lisu utakataa?
 
Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.
CDM wamekata tamaa na Vyombo vya habari vya hapa nchini kwa sababu wanaona haviwatendei Haki,haviwatendei Haki sio kwa sababu havitaki,hapana,Bali vimetishwa visiwatangazie mambo yao mazuri,mfano Hakuna chombo chochote Cha habari Cha ndani kilichoripoti siku TL alipokuja nchini.

Pia hakuana chombo chochote Cha nchini kilihudhuria siku ya uchunguzi wa mwenyekiti wa CDM pale Mlimani City.

Wala hakuna chombo kilichojitokeza kuripoti Press conference aliuofanya Mbowe Mara ya mwisho.

Kwa maana hiyo CDM wameona wasijichoshe kualika chombo ambacho hakita kuja Wala hakita ripoti.

Chombo chochote Cha habari habari yeyote Ni malighafi namba moja,lakini habari za chadema Ni hatari kwao na zinaweza kuwaguarimu Sana,hivyo nao wanaogopa.wanaogopa yaliyowakuta Mawio,mwanahalisi na Tanzania Daima.
 
We simama uhesabiwe wenyewe wataunga tela uwepo wa Mungu ni zaidi ya hizo media zote 2020 tunaenda na mpango wa Mungu 2020 ni yeye ni Lisu
kusudi la Mungu linakuwa kamilifu pale tu anapotumia juhudi za waja wake.

mathalani Mungu alimwambia Musa apige fimbo kwenye ukingo wa maji ya bahari ya Shamu kutengeneza njia ili Waisraeli wapite salama.
unadhani kwa nini Mungu hakuamuru tu mwenyewe maji ya bahari yajitenge?
 
itakuwa vyema Chadema wenyewe wakitoa majibu. wewe ni CCM lazima jibu lako litakuwa lopsided!

CHADEMA

Hiyo ID ya cdm ni verified user, lakini huwa haitoi ufafanuzi wowote kwa mambo kama haya, yenyewe huwa inaleta inachotaka! Nimewahi kuuliza mambo kadhaa bila kupata ufafanuzi baada ya hiyo Id kuleta taarifa fulani fulani hapa. Kwa sasa kitengo cha habari cha cdm kimekuwa kama kitengo cha chama cha wazee.
 
Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.
CDM wamekata tamaa na Vyombo vya habari vya hapa nchini kwa sababu wanaona haviwatendei Haki,haviwatendei Haki sio kwa sababu havitaki,hapana,Bali vimetishwa visiwatangazie mambo yao mazuri,mfano Hakuna chombo chochote Cha habari Cha ndani kilichoripoti siku TL alipokuja nchini.

Pia hakuana chombo chochote Cha nchini kilihudhuria siku ya uchunguzi wa mwenyekiti wa CDM pale Mlimani City.

Wala hakuna chombo kilichojitokeza kuripoti Press conference aliuofanya Mbowe Mara ya mwisho.

Kwa maana hiyo CDM wameona wasijichoshe kualika chombo ambacho hakita kuja Wala hakita ripoti.

Chombo chochote Cha habari habari yeyote Ni malighafi namba moja,lakini habari za chadema Ni hatari kwao na zinaweza kuwaguarimu Sana,hivyo nao wanaogopa.wanaogopa yaliyowakuta Mawio,mwanahalisi na Tanzania Daima.
hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa kwenye eneo lolote unapokuwa kwenye uwanja wa mapambano.

Chadema waache kuwa bitter, wawe bold. that's the only way!
 
Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.
CDM wamekata tamaa na Vyombo vya habari vya hapa nchini kwa sababu wanaona haviwatendei Haki,haviwatendei Haki sio kwa sababu havitaki,hapana,Bali vimetishwa visiwatangazie mambo yao mazuri,mfano Hakuna chombo chochote Cha habari Cha ndani kilichoripoti siku TL alipokuja nchini.

Pia hakuana chombo chochote Cha nchini kilihudhuria siku ya uchunguzi wa mwenyekiti wa CDM pale Mlimani City.

Wala hakuna chombo kilichojitokeza kuripoti Press conference aliuofanya Mbowe Mara ya mwisho.

Kwa maana hiyo CDM wameona wasijichoshe kualika chombo ambacho hakita kuja Wala hakita ripoti.

Chombo chochote Cha habari habari yeyote Ni malighafi namba moja,lakini habari za chadema Ni hatari kwao na zinaweza kuwaguarimu Sana,hivyo nao wanaogopa.wanaogopa yaliyowakuta Mawio,mwanahalisi na Tanzania Daima.
Waliomba wakanyimwa?
 
Chadema waliomba coverage au hawakuomba?

..kuna mambo mengine siyo ya kuomba coverage.

..na mfano mmoja wapo ni hili la mikutano mikuu ya vyama.

..Vyombo BINAFSI vinaweza visitangaze, lakini vyombo vya habari vya UMMA vina WAJIBU wa kutangaza mikutano mikuu ya vyama kwa USAWA.

..nategemea hiki kilichotokea hakitajirudia wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
 
mkuu, Chadema wasisubiri huruma ya vyombo vilivyo chini ya ruthless 5th regime. hiyo huruma haipo!

they just need to be proactive (wajiongeze). the only way!
 
Hili nalo ni neno Mkuu na ulichoandika kinaweza kuwa ni sahihi 100%
Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.
CDM wamekata tamaa na Vyombo vya habari vya hapa nchini kwa sababu wanaona haviwatendei Haki,haviwatendei Haki sio kwa sababu havitaki,hapana,Bali vimetishwa visiwatangazie mambo yao mazuri,mfano Hakuna chombo chochote Cha habari Cha ndani kilichoripoti siku TL alipokuja nchini.

Pia hakuana chombo chochote Cha nchini kilihudhuria siku ya uchunguzi wa mwenyekiti wa CDM pale Mlimani City.

Wala hakuna chombo kilichojitokeza kuripoti Press conference aliuofanya Mbowe Mara ya mwisho.

Kwa maana hiyo CDM wameona wasijichoshe kualika chombo ambacho hakita kuja Wala hakita ripoti.

Chombo chochote Cha habari habari yeyote Ni malighafi namba moja,lakini habari za chadema Ni hatari kwao na zinaweza kuwaguarimu Sana,hivyo nao wanaogopa.wanaogopa yaliyowakuta Mawio,mwanahalisi na Tanzania Daima.
 
Mkuu Lee van cliff
Umeeleza vyema hizo ambazo zinaweza kuwa sababu za kwanini vyombo vikongwe ( mainstream),vimesusa kushirikiana na chadema na kwa upande mwingine chadema nao wameamua kupunguza ushirika wao na vyombo hivyo.
 
Pamoja na sababu ulizotaja, na ingawa chadema nao hawajatoa tamko rasmi juu ya suala hili, bado tunaweza kuongea kitu katika hili.
Ukiwa mfuatiliaji wa masuala haya, bila shaka utakuwa umebaini masuala kadhaa, kubwa ni upendeleo unaoonyeshwa kwa ccm kupata nafasi zaidi kuliko wengine. Kitu ambacho sio sasa.
Katika mazingira ya amshaamsha ya uchaguzi mkuu iliyopo hivi sasa ni mhariri wa ajabu atasubiri kupata mwaliko wa chadema ili apate taarifa kwa chombo chake! Mhariri anayejielewa atakuwa mstari wa mbele yenye mwenyewe kwa raslimali zake kupata na kurusha mbashara, taarifa kuhusu chadema na uchaguzi mkuu.
Kuna matukio kadhaa ya siku za karibuni kabisa yanathihitisha hili. Mosi kabla ccm kuanza mchakato wa vikao vya wajumbe kupiga kura kupata washindi katika awamu hiyo, Azam kupitia Tido mhando walifanya mahojiano na karibu mkuu wa ccm na kueleza mengi.
Tuliona vyombo hivyo kwa pamoja vilivyorusha matangazo mubashara katika vikao vyote vya Dodoma na pia kura za maoni za wabunge na hata wa viti maalum, vilipata matangazo ya live.
Nionavyo, waandishi, wamiliki na wahariri wana wajibu wa kujiyafakari, vinginevyo wajitangaze kuwa vyombo vyao ni mali ya chama Fulani na hivyo wengine hawana nafasi.
Pia MCT simamenj kutetea misingi ya taaluma hii inayozidi kupoteza hadhi yake.
 
Back
Top Bottom