yeah, hapa tuko kwenye ukurasa mmoja.Ili kupata jibu la swali lako ni budi kujiuliza:
√ Kuna vyombo vya habari nchini vinavyomilikiwa na watu binafsi?
√ Je, kuna ushahidi kwamba vyama vya upinzani vilitaka mikutano yao kurushwa mubhashara, vikawa tayari kulipia, vikamyimwa nafasi?
Shida hawatajagi kuhojiwa na kuambiwa ukweli .!Mtu anauliza maswali ya msingi ajabu wengine wanaleta viroja tu badala ya kujibu hoja sijui tumepatwa na nini?
Acha mawazo uchwara semeni tu hamna hela ya kuwalipa basi na si vinginevyo sio kila kitu kusingizia CCM!.Jibu ndo hilo ACT ni programu ya Chama tawala kupunguza nguvu ya Chadema so wao kuoneshwa live na channel zenu uchwara ni moja ya mipango mikakati ya CCM kuua nguvu ya Chadema
taratibu ndugu, hii game weka mbali na hasira...
swali langu #1:
(a) waliomba?
(b) kwa nini walinyimwa?
swali langu #2:
(a) hawakuomba?
(b) kama hawakuomba, kwa nini?
kabisa kabisa mkuu.Kama hawakuomba ni makosa makubwa sana. Mimi ni Chadema damu damu na hii ilikuwa ni nafasi nzuri sana ya Chadema kujitangaza Nchi nzima ili kuwahakikishia Watanzania kwamba chama kiko hai kupambana na maccm.
Ikumbukwe maccm yanasambaza uzushi kwamba Chadema ILISHAJIFIA.
kabisa kabisa mkuu.
kama hawakufanya mpango wowote (which I doubt kwani I regard Chadema so highly kwenye umakini) it's tantamount to a false start technically.
Chadema inabidi wawe so aggressive katika kuji promote kupitia mainstream media. kama ni gharama basi kasma ya media campaign iwe ni moja ya gharama zinazohitajika kutengewa fungu la kutosha.
CHADEMA
We simama uhesabiwe wenyewe wataunga tela uwepo wa Mungu ni zaidi ya hizo media zote 2020 tunaenda na mpango wa Mungu 2020 ni yeye ni LisuUnajua siye wengine hapa ni CCM.
Lakini tangu misingi ya chama ianze kukiukwa baada ya Mwalimu JKN kuondoka (RIP mzee), sisi wana CCM asilia tumejikuta njia panda na imefikia mahala tumejikuta tunatamani chama chetu kiwekwe benchi na upinzani ili kiamke usingizini.
Ndiyo maana mnatusoma mara kadhaa humu jukwaani tuki sympathize na kambi ya upinzani, hususani chini ya awamu hii ya 5 ambapo tumeshuhudia katiba ikisiginwa wazi wazi na haki za binadamu zikikandamizwa.
Lakini nimejiuliza kuhusu mikutano 2 mikubwa ya Chadema (Baraza Kuu na Mkutano Mkuu) ikifanyika bila live media coverage. Wakati huo huo naona kesho mkutano wa ACT utakuwa na live coverage ya TV (ITV).
Ndiposa najikuta najiuliza mwenyewe.... Chadema wamekwama wapi kufanikisha hili ambalo wenzao ACT wameweza kufanikisha? Chadema waliomba wakakataliwa au hawakuomba kabisa? Kama walikataliwa ni kwa nini?
Na kama hawakuomba ni kwa nini?
These pertinent questions ni kwa nia njema kabisa ya kuondoa mzizi wa tatizo tunapoelekea October kwani hata sisi CCM baadhi yetu tunataka kuona upinzani unashika dola sasa, huku Tundu Lissu akiwa our new head of state.
CHADEMA Chadema Diaspora
Mkuu mashabiki wa chadema akili zao ni kibangi kama mgombea waoMtu anauliza maswali ya msingi ajabu wengine wanaleta viroja tu badala ya kujibu hoja sijui tumepatwa na nini?
Kwahiyo ACT wakisema watamuunga mkono Lisu utakataa?Jibu ndo hilo ACT ni programu ya Chama tawala kupunguza nguvu ya Chadema so wao kuoneshwa live na channel zenu uchwara ni moja ya mipango mikakati ya CCM kuua nguvu ya Chadema
kusudi la Mungu linakuwa kamilifu pale tu anapotumia juhudi za waja wake.We simama uhesabiwe wenyewe wataunga tela uwepo wa Mungu ni zaidi ya hizo media zote 2020 tunaenda na mpango wa Mungu 2020 ni yeye ni Lisu
itakuwa vyema Chadema wenyewe wakitoa majibu. wewe ni CCM lazima jibu lako litakuwa lopsided!
CHADEMA
hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa kwenye eneo lolote unapokuwa kwenye uwanja wa mapambano.Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.
CDM wamekata tamaa na Vyombo vya habari vya hapa nchini kwa sababu wanaona haviwatendei Haki,haviwatendei Haki sio kwa sababu havitaki,hapana,Bali vimetishwa visiwatangazie mambo yao mazuri,mfano Hakuna chombo chochote Cha habari Cha ndani kilichoripoti siku TL alipokuja nchini.
Pia hakuana chombo chochote Cha nchini kilihudhuria siku ya uchunguzi wa mwenyekiti wa CDM pale Mlimani City.
Wala hakuna chombo kilichojitokeza kuripoti Press conference aliuofanya Mbowe Mara ya mwisho.
Kwa maana hiyo CDM wameona wasijichoshe kualika chombo ambacho hakita kuja Wala hakita ripoti.
Chombo chochote Cha habari habari yeyote Ni malighafi namba moja,lakini habari za chadema Ni hatari kwao na zinaweza kuwaguarimu Sana,hivyo nao wanaogopa.wanaogopa yaliyowakuta Mawio,mwanahalisi na Tanzania Daima.
Waliomba wakanyimwa?Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.

Chadema waliomba coverage au hawakuomba?
mkuu, Chadema wasisubiri huruma ya vyombo vilivyo chini ya ruthless 5th regime. hiyo huruma haipo!..kuna mambo mengine siyo ya kuomba coverage.
..na mfano mmoja wapo ni hili la mikutano mikuu ya vyama.
..Vyombo BINAFSI vinaweza visitangaze, lakini vyombo vya habari vya UMMA vina WAJIBU wa kutangaza mikutano mikuu ya vyama kwa USAWA.
..nategemea hiki kilichotokea hakitajirudia wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
Mimi sio kiongozi wa CD M in maweza kutoa maoni yangu.