Mikwaju ya Samia Suluhu ya 29 Oktoba 2025. Hakutosheka?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.

Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.

Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.

Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.

Kizimkazi ilizaa laana?

20260510_121741.jpg
20260510_122003.jpg
 
IDD AMINI HAKUTOSHEKA ,KAMATI YA CCM JUZI IMEPONGEZA GENGE LAO LA POLISI UNATEGEMEA NINI??
 
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.

Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.

Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.

Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.

Kizimkazi ilizaa laana?
View attachment 3586526
View attachment 3586527View attachment 3586528View attachment 3586529
WALIVYOKUWA WANAFANYA UHARAMIA WA KUCHOMA NYUMBA ZA WATU , KUIBA LUCHOMA VITUO VYA MAFUTA WALIJUA RAHA SIO ? HAPO WAMEONJESHWA TU WALITAKIWA HATA HATA HAO WENYE CM WALIWE VICHWA SHENZI KABISA , UNALETA UJAMBAZI KWA KUTUMWA NA MANGE NA MARIA ? LEO NANI KAULIWA ? JANA NANI KAULIWA ? MSILETE VIPICHA VYA KUTAKA HURUMA WALISTAHILI NA WAMEPATA KIDOGO MNO WALIATAKIWA WAPIGWE WA KUTOSHA IWE FUNDISHO
 
uko sahihi
 
Maana yake ni kuwa ametangaza vita na raia wazalendo.
 
IDD AMINI HAKUTOSHEKA ,KAMATI YA CCM JUZI IMEPONGEZA GENGE LAO LA POLISI UNATEGEMEA NINI??
kweli wastahili pongezi sana sanaaa sasahivi tungeshakuwa wakimbizi huko Kenya au Rwanda bora wamepumzika wachache wengi wamepona
 
WALIVYOKUWA WANAFANYA UHARAMIA WA KUCHOMA NYUMBA ZA WATU , KUIBA LUCHOMA VITUO VYA MAFUTA WALIJUA RAHA SIO ? HAPO WAMEONJESHWA TU WALITAKIWA HATA HATA HAO WENYE CM WALIWE VICHWA SHENZI KABISA , UNALETA UJAMBAZI KWA KUTUMWA NA MANGE NA MARIA ? LEO NANI KAULIWA ? JANA NANI KAULIWA ? MSILETE VIPICHA VYA KUTAKA HURUMA WALISTAHILI NA WAMEPATA KIDOGO MNO WALIATAKIWA WAPIGWE WA KUTOSHA IWE FUNDISHO
Mafuta ya baba yako? Mahakama zipo kwa kazi gani? Binadamu unaondoaje uhai wa mtu kisa vitu? Mbona mafisadi wa CCM hamuwaui
 
Samuya ajiangalie sana , Kenya haipo kama anavyoifikiria walishavuka zama za kutishwa enzi za Moi , hata Ruto aliwahi kukoswakoswa na kiatu akiwa jukwaani siku akienda Kenya pengine wanaweza kumtandika hata na jiwe .

Kenya inaendeshwa na katiba na rais ni mtumishi wa wananchi ndio maana Ruto hakumuunga mkono ujinga wake maana anaelewa utofauti wa Tanzania na Kenya.
 
Kanogewa kupiga watanzania mikwaju sasa amataka mpaka watoto wa jirani nao walambwe mikwaju. Sad
 
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.

Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.

Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.

Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.

Kizimkazi ilizaa laana?

Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.

Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.

Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.

Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.

Kizimkazi ilizaa laana?

View attachment 3586550
Samuya ajiangalie sana , Kenya haipo kama anavyoifikiria walishavuka zama za kutishwa enzi za Moi , hata Ruto aliwahi kukoswakoswa na kiatu akiwa jukwaani siku akienda Kenya pengine wanaweza kumtandika hata na jiwe .

Kenya inaendeshwa na katiba na rais ni mtumishi wa wananchi ndio maana Ruto hakumuunga mkono ujinga wake maana anaelewa utofauti wa Tanzania na Kenya.
Sasa itakuwa ni ya kidigirali aka adjustable
 
Back
Top Bottom