figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
WALIVYOKUWA WANAFANYA UHARAMIA WA KUCHOMA NYUMBA ZA WATU , KUIBA LUCHOMA VITUO VYA MAFUTA WALIJUA RAHA SIO ? HAPO WAMEONJESHWA TU WALITAKIWA HATA HATA HAO WENYE CM WALIWE VICHWA SHENZI KABISA , UNALETA UJAMBAZI KWA KUTUMWA NA MANGE NA MARIA ? LEO NANI KAULIWA ? JANA NANI KAULIWA ? MSILETE VIPICHA VYA KUTAKA HURUMA WALISTAHILI NA WAMEPATA KIDOGO MNO WALIATAKIWA WAPIGWE WA KUTOSHA IWE FUNDISHOKenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.
Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.
Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.
Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.
Kizimkazi ilizaa laana?
View attachment 3586526
View attachment 3586527View attachment 3586528View attachment 3586529
uko sahihiWALIVYOKUWA WANAFANYA UHARAMIA WA KUCHOMA NYUMBA ZA WATU , KUIBA LUCHOMA VITUO VYA MAFUTA WALIJUA RAHA SIO ? HAPO WAMEONJESHWA TU WALITAKIWA HATA HATA HAO WENYE CM WALIWE VICHWA SHENZI KABISA , UNALETA UJAMBAZI KWA KUTUMWA NA MANGE NA MARIA ? LEO NANI KAULIWA ? JANA NANI KAULIWA ? MSILETE VIPICHA VYA KUTAKA HURUMA WALISTAHILI NA WAMEPATA KIDOGO MNO WALIATAKIWA WAPIGWE WA KUTOSHA IWE FUNDISHO
sasahivi mange simsikiii kabisa alijua dola ni vitoy vya watoto?uko sahihi
alikua anategemea IG pekee kutoa porojo na uzushi wake nonsense kuwadanganya wafuata mkumbosasahivi mange simsikiii kabisa alijua dola ni vitoy vya watoto?
kweli wastahili pongezi sana sanaaa sasahivi tungeshakuwa wakimbizi huko Kenya au Rwanda bora wamepumzika wachache wengi wameponaIDD AMINI HAKUTOSHEKA ,KAMATI YA CCM JUZI IMEPONGEZA GENGE LAO LA POLISI UNATEGEMEA NINI??
aiseee kile kimbwa sio bure kinaumwa sasahivi maana kimewaponza watoto wa maskini bureeeeealikua anategemea IG pekee kutoa porojo na uzushi wake nonsense kuwadanganya wafuata mkumbo
Mafuta ya baba yako? Mahakama zipo kwa kazi gani? Binadamu unaondoaje uhai wa mtu kisa vitu? Mbona mafisadi wa CCM hamuwauiWALIVYOKUWA WANAFANYA UHARAMIA WA KUCHOMA NYUMBA ZA WATU , KUIBA LUCHOMA VITUO VYA MAFUTA WALIJUA RAHA SIO ? HAPO WAMEONJESHWA TU WALITAKIWA HATA HATA HAO WENYE CM WALIWE VICHWA SHENZI KABISA , UNALETA UJAMBAZI KWA KUTUMWA NA MANGE NA MARIA ? LEO NANI KAULIWA ? JANA NANI KAULIWA ? MSILETE VIPICHA VYA KUTAKA HURUMA WALISTAHILI NA WAMEPATA KIDOGO MNO WALIATAKIWA WAPIGWE WA KUTOSHA IWE FUNDISHO
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.
Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.
Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.
Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.
Kizimkazi ilizaa laana?
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania.
Aliyeonja nyama ya Mtu haachi.
Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025.
Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu.
Kizimkazi ilizaa laana?
Sasa itakuwa ni ya kidigirali aka adjustableView attachment 3586550
Samuya ajiangalie sana , Kenya haipo kama anavyoifikiria walishavuka zama za kutishwa enzi za Moi , hata Ruto aliwahi kukoswakoswa na kiatu akiwa jukwaani siku akienda Kenya pengine wanaweza kumtandika hata na jiwe .
Kenya inaendeshwa na katiba na rais ni mtumishi wa wananchi ndio maana Ruto hakumuunga mkono ujinga wake maana anaelewa utofauti wa Tanzania na Kenya.