Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na yoooooteee, pengo lake limeonekana!Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mikwara tu yule kwanza hata kuona aoni vizuri lakini anamdomo mchafu sana wa kudhalilisha wenzie na kuita wenzie kilo 800,wengine anasema wakiongea wanabana pua,ila yeye ndo anajiona kaumbwa vizuri,Mungu fundi nyie.
Wale wa manara ni dude kubwa watakuja kutukanaPamoja na yoooooteee, pengo lake limeonekana!
Kwenye nini?Pamoja na yoooooteee, pengo lake limeonekana!
Usiku huu unamuwaza mwanaume mwenzako !Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
mnanuka mavi.Usiku huu unamuwaza mwanaume mwenzako !
Sasa hivi anashinda sana kwa Mganga wake na aliyeisaidia Yanga SC aishiye Kigamboni, ila anajiandaa kwenda kwa Mganga wake mwingine aishiye Unguja ambaye humtumia sana na hata 65% ya Viongozi wenu wa Bara na Visiwani humtumia.Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
Umempa bonge la Jibu huyo Moron.mnanuka mavi.
Muajiri awe Msemaji wako na wa Familia yako pia sawa?Pamoja na yoooooteee, pengo lake limeonekana!
Alishado kweza kwamba akijipendekeza na engineer wake ..yaan wote na club chao wange kiona cha mtema kuni ...Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
aisee nipe connection ya huyo mganga wa unguja nina shida naeSasa hivi anashinda sana kwa Mganga wake na aliyeisaidia Yanga SC aishiye Kigamboni, ila anajiandaa kwenda kwa Mganga wake mwingine aishiye Unguja ambaye humtumia sana na hata 65% ya Viongozi wenu wa Bara na Visiwani humtumia.
Ninaomba niishie tu hapa tafadhali.
Masharti yake nina uhakika huyawezi.aisee nipe connection ya huyo mganga wa unguja nina shida nae