Mikwara yote ya Manara sijamuona kwenye udhamini wa Sportpesa, usifanye mchezo na mamlaka

Mikwara yote ya Manara sijamuona kwenye udhamini wa Sportpesa, usifanye mchezo na mamlaka

Mikwara tu yule kwanza hata kuona aoni vizuri lakini anamdomo mchafu sana wa kudhalilisha wenzie na kuita wenzie kilo 800,wengine anasema wakiongea wanabana pua,ila yeye ndo anajiona kaumbwa vizuri,Mungu fundi nyie.
, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
Sasa hivi anashinda sana kwa Mganga wake na aliyeisaidia Yanga SC aishiye Kigamboni, ila anajiandaa kwenda kwa Mganga wake mwingine aishiye Unguja ambaye humtumia sana na hata 65% ya Viongozi wenu wa Bara na Visiwani humtumia.

Ninaomba niishie tu hapa tafadhali.
 
Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
Alishado kweza kwamba akijipendekeza na engineer wake ..yaan wote na club chao wange kiona cha mtema kuni ...

Na hapo bado ana msala wa kudharau kamati
 
Pengo la Manara limeonekana kwenye uzinduzi wa jezi. Viongozi wetu wafanye jitihada jamaa arudi la sivyo mauzo ya jezi yatashuka sana ukizingatia na designer naye kazingua
 
Sasa hivi anashinda sana kwa Mganga wake na aliyeisaidia Yanga SC aishiye Kigamboni, ila anajiandaa kwenda kwa Mganga wake mwingine aishiye Unguja ambaye humtumia sana na hata 65% ya Viongozi wenu wa Bara na Visiwani humtumia.

Ninaomba niishie tu hapa tafadhali.
aisee nipe connection ya huyo mganga wa unguja nina shida nae
 
Back
Top Bottom