Mil 2.5 za mahari zamkimbiza kijana

Mil 2.5 za mahari zamkimbiza kijana

Mkuu, sio nyingi lakini kwa mantiki ya mambo ya kuoana ni nyingi sana. Wakati natajiwa mahari, sikuona kama pesa wanayosema ni nyingi, lakini kuna mambo yanaambatana na mila za huko unakooa, unaweza kushangaa baada ya kutoa 2.5M ukatoa tena, hapo kuna blankets, mbuzi, kondoo, chakula.

Hapo bado sherehe hujaipigia mahesabu. Yaani ukimlipisha kijana mahari ya 2.5M maana yake enhanced na sio chini ya 7M toka mfukoni mwake hadi sherehe iishe.

Kwa usawa huu tunarusdishana nyuma.
Basi marefu yenu,sisi hatuna sijui Blankets,Mbuzi wala yote hayo,once ukishatoa mahari mnakaa chini mfano upande wa mke wameamua kufanya sherehe ndogo kama Henna,Kitchen Party inakua juu yetu sisi wanawake na tunatoa card kuwapa upande wa mume kama 50-100 Cards Hall tunakua pamoja au mfano sisi wa kwamke tunataka kumfanyia mtoto wetu tutawashirikisha kama mnataka kutoa mchango ili tugawane card sawa tunakubaliana la mnasema no basi again tutawapa card kama 70 thats it na wao pia the same,Mahari kwetu hua unapewa wewe bibi harusi na wanakuuliza unataka nini? mfano unasema nataka Bangili 6 za dhahabu na set1 ya dhahabu basi,au unataka pesa unataja zikiletwa hua ni zako wewe bibi harusi sio mama wala shangazi wala mjomba...
 
Nyie mnataka kuoa,unategemea upewe mtoto wa watu bure?maana ya uanaume wako ni nini sasa?acheni woga toa mahari upewe mke,ww ndio muoaji,kama unataka usaidiwe kulipiwa mahari wanajamii wakuchangie mahari jamii nzima imuoe mkeo,itisha mchango tukuchangie,acheni kulia lia huku mitandaoni,lipa mahari gharamia mtu wako.
Nigharamie kwani hasa kikubwa ni nini hasa? Ananipa nini hasa? Sioni umuhimu wa mahari hasa dunia ya leo wanawake wengi ambao ni wachoyo kuanzia kitandani hadi majukumu mbalimbali....... Kiufupi wengi wanaoa kwa mazoea tu ndio mana hata mie naona hata mahari hazistahili kulipwa..... Aaaah ghash!!!!!!!!!
 
eti hadi siku hizi ukienda kuoa uluguruni bila milioni 1.6 hupati mke
fumbaf thana, mtu anaitamka kabisa 1.6 utadhani hata hesabu za desimali kashawahi kuzisoma.
wakafe mbele huko na 1.6 zao, kama vipi wawaoe wenyewe hao binti zao kama wanaona vijana wanafaidi.

Teh teh teh..
 
Nigharamie kwani hasa kikubwa ni nini hasa? Ananipa nini hasa? Sioni umuhimu wa mahari hasa dunia ya leo wanawake wengi ambao ni wachoyo kuanzia kitandani hadi majukumu mbalimbali....... Kiufupi wengi wanaoa kwa mazoea tu ndio mana hata mie naona hata mahari hazistahili kulipwa..... Aaaah ghash!!!!!!!!!
Nigharamie kwani hasa kikubwa ni nini hasa? Ananipa nini hasa? Sioni umuhimu wa mahari hasa dunia ya leo wanawake wengi ambao ni wachoyo kuanzia kitandani hadi majukumu mbalimbali....... Kiufupi wengi wanaoa kwa mazoea tu ndio mana hata mie naona hata mahari hazistahili kulipwa..... Aaaah ghash!!!!!!!!!
wakikusaidia kuoa,usilalamike!...
 
Hivi wanaume mbona siku hizi mmekuwa hivyo!!! Kila kitu mnalalamika tuuuuu!!
 
Tunaukaba vilivyo..ila wazazi wenu kutaka mahari mengi ndio tabu inaanzia hapo sasa
Toeni mahari muache kulalama, kama hauwezi kwanini unakimbilia kuoa ilihali ukijijua haujiwezi!! Ukishindwa mahari tu utaweza kweli kuhudumia familia!!
 
Mahari sishindwi ila mahari ndefu hapanaaaaaa
 
Nigharamie kwani hasa kikubwa ni nini hasa? Ananipa nini hasa? Sioni umuhimu wa mahari hasa dunia ya leo wanawake wengi ambao ni wachoyo kuanzia kitandani hadi majukumu mbalimbali....... Kiufupi wengi wanaoa kwa mazoea tu ndio mana hata mie naona hata mahari hazistahili kulipwa..... Aaaah ghash!!!!!!!!!
Mwanaume wa ukweli hakimbii majukumu!utoto unawasumbua tu!mnapenda vya bure.....!wanaume wa dar utawajua tu!mmeshazoea papuchi za jumuia kwenye makaburi &madanguro.....hamuoni sababu ya kutengeneza familia!
 
Ahahahaaa,,,, hivi majukumu mbona yapo mengi sana,,,,, nayatekeleza sana,,,,,, haya we mkubwa wa mkoani umelipa mahari kubwa na hapo ndani umehifadhi mwili tu roho yake ipo kwa mijitu yake ya zamani,,,,, mijamaa imepiga imechoka hadi mizee hafu ndio umepewa wewe,,,,, unaona kidume eeee eeee.......... Na koo yake yote wanakutegemea kwa jinsi ulivyo,,,,,,,
 
Basi marefu yenu,sisi hatuna sijui Blankets,Mbuzi wala yote hayo,once ukishatoa mahari mnakaa chini mfano upande wa mke wameamua kufanya sherehe ndogo kama Henna,Kitchen Party inakua juu yetu sisi wanawake na tunatoa card kuwapa upande wa mume kama 50-100 Cards Hall tunakua pamoja au mfano sisi wa kwamke tunataka kumfanyia mtoto wetu tutawashirikisha kama mnataka kutoa mchango ili tugawane card sawa tunakubaliana la mnasema no basi again tutawapa card kama 70 thats it na wao pia the same,Mahari kwetu hua unapewa wewe bibi harusi na wanakuuliza unataka nini? mfano unasema nataka Bangili 6 za dhahabu na set1 ya dhahabu basi,au unataka pesa unataja zikiletwa hua ni zako wewe bibi harusi sio mama wala shangazi wala mjomba...
Wewe utakuwa mwarabu tu
 
Ahahahaaa,,,, hivi majukumu mbona yapo mengi sana,,,,, nayatekeleza sana,,,,,, haya we mkubwa wa mkoani umelipa mahari kubwa na hapo ndani umehifadhi mwili tu roho yake ipo kwa mijitu yake ya zamani,,,,, mijamaa imepiga imechoka hadi mizee hafu ndio umepewa wewe,,,,, unaona kidume eeee eeee.......... Na koo yake yote wanakutegemea kwa jinsi ulivyo,,,,,,,
Humu ndani watoto wako wengi!
Mwanaume wa ukweli hakimbii majukumu!utoto unawasumbua tu!mnapenda vya bure.....!wanaume wa dar utawajua tu!mmeshazoea papuchi za jumuia kwenye makaburi &madanguro.....hamuoni sababu ya kutengeneza familia!
 
Hafadhali ya huyo 2.5 mi nimeambiwa Ngombe 25 kwa wasukuma huko sijui wanataka niwafungulie zizi au lakini binti yao nimempa tayari kibend watanitafutaaa tu
wasukuma ndo zao nilikua na kadem kangu ka kisukuma, ktk maongezi yake kakajichanganya kakasema dada yake aliolewa kwa ng'ombe 35, nilikua nakakubali lkn kuanzia hapo nikaanza kukasahau
 
Acha ufala quote wengine,,,,, unanisababishia kichefuchefu tu,,,,,, ukirudia kuniita mtoto hakyanani leo moderators wataniweka ban
Unamaanisha weye si mtoto?dhibitisha kwa post za akili basi!
 
Kwa Zamani ilikuwa sawa Kabisa Mtu kuolewa kwa Mahari Kubwa kutokana Na Mtu Unaweza Ukamkuta Hajatumika sana
Tofauti iliyopo na karne hii The papuchi inaonekana ni kitu cha kawaida sana kiac kwamba mtu Akianza kulinganis h a na pesa Anayotakiwa Atoe mmmmmh mtu Unajkataa mapema Yani
 
Back
Top Bottom