GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,430
- 20,063
Mimi sio muhubiri au anayeshadadia habari za Haki za wanawake (Ufeminist)
Ila katika pita pita zangu nimeshasoma visa vingi sana ambayo walifanyiwa wanawake kwa lengo la kumfurahisha mwanaume ila matokeo yake ikawa ni mateso tu na kutweza utu wao.
Ni visa vya ajabu na vya kupingwa kabisa. Halafu cha kushangaza zaidi mambo haya waliokua vinara kuyashadadia ni wanawake wenzao(wamama). So sad aisee
Nimeshasoma visa vya kukeketwa kutoka Afrika
Nimeshasoma visa vya wanawake kushonwa sehemu zao za siri (sealed) pale mumewe anaposafiri katika jamii za Kiarabu na kisomali(Nilishasimuliwa sana na rafiki yangu Ayan Magal. Ni muandishi)
Ila hiki kisa ndo nimekisoma leo. Na nimebaki na mshangao
Ni kutoka jamii ya wachina. Ambapo mtoto toka akiwa na miaka kati ya 3-4 vidole vinne vya miguuni vinaanza kufungwa na kupindishwa kama kuvunjwa kwa mtindo huo na akifungwa anaanza kutembelea hiyo miguu. Lengo likiwa tu aweze kuvaa Hugo tuviatu akiwa mkubwa
Na iliaminika kwamba mwanamke wa hivyo ndo wa heshima na alitolewa mahari kubwa sana na kuleta sifa za kutosha kwa familia😂😂😂😂
Japokua hii mila ilipigwa marufuku karne ya 20, bado kuna jamii zinaendelea kuitekeleza
Kwakweli kua uyaone.....nilidhani I have seen it all