Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Kumbe binadamu ameanza kuwa developed miaka michache nyuma.
This is the main definition of lunacy.
This is the main definition of lunacy.
Hahahaha umeweka kitalaam sana mkuuMbona huko China mbali mkuu, vipi kwa hapa kwetu Tanzania yale makabila yenye mila ya kumtoa mwanamke Antena yake ili Television yake isiweze kushika vizuri mawimbi ya matangazo. Eti wanasema lengo kuu la mila hiyo na kumfanya mwanamke asizijue sana raha ya kuangalia TV maana inawezekana siku TV ya nyumbani ikawa mbovu yeye akaenda kuangalia TV kwa jirani...
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na hapa Tz makabila mengine kurefusha ndude kwa kuvuta ili kumfurahisha mumeMbona huko China mbali mkuu, vipi kwa hapa kwetu Tanzania yale makabila yenye mila ya kumtoa mwanamke Antena yake ili Television yake isiweze kushika vizuri mawimbi ya matangazo. Eti wanasema lengo kuu la mila hiyo na kumfanya mwanamke asizijue sana raha ya kuangalia TV maana inawezekana siku TV ya nyumbani ikawa mbovu yeye akaenda kuangalia TV kwa jirani...
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Jamii gani mzee...hebu weka waziAchana na hiyo kuna jamii mmoja hapa bongo ukioa inabidi mzee ndo aanze kula mke wako kwanza kabla yako alafu badae wewe ndo uanze kula