Mila za ajabu: Nimebaki na mshangao baada ya kusoma kisa hiki

Hahahaha umeweka kitalaam sana mkuu
 
Kumbe binadamu ameanza kuwa developed miaka michache nyuma.

This is the main definition of lunacy.
Kuna mila ukizisikia lazima ubaki mdomo wazi kwa mshangao
 
Na hapa Tz makabila mengine kurefusha ndude kwa kuvuta ili kumfurahisha mume

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Duh huu ni ukatili wa kiwango cha juu kwa wanawake jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…