Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January.
Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu.
Nimeshangaa sana inakuwaje Mtu amefariki 17 October 2022 halafu aje azikwe January 28, 2023 maanake alikuwa mortuary tu? Na muda wote huo mambo mengine yote yalikuwa yanaendelea kama kawaida. Hawa wanachukuliaje kifo? Je, ni sherehe kwamba watu wapate muda wa maandalizi au?
Hii mila ya Waghana ya ajabu sana.