Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 594
..nakumbuka nikiwa jela niliwafunga ma askari magereza na nikawatemea na shombo mbaya..kesho yake wakanipa carrot chafu..zile safi wakachukua....draft mi nitisha aseeKuna jamaa alikuwa ananifungia maneno maneno yenyewe ya shombo et mimi ndo nilikwambia uje hapa umeshiba viporo huko umekuja hapa kuna siku anaweza kuja na miwan ya macho akikuona unajifikiri kete ya kucheza anatoa miwani anakupa sasa mi siwez kuongea hvyo bt huwa ananikera sana
Hujamwelewa mleta mada.Kumbe hadi ninyi macute hua mnacheza draft?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hujamwelewa mleta mada.
Anazungumzia kaliwa mzigo na dogo baada ya kupewa maneno matamu bila kutegemea akachanua
Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo jamaa kuwa kashinda...huyo mtu anafungwa na dogo ninaemwonea kwenye draft..draft mchezo wa kifala sana ule..roho inaniuma π‘π‘ππ
SITOKAA NIJE KULICHEZA TEENA
Wana maneno ya ajabu sana eti utaona mtu anakutishia"leo nitakufunga hadi ukohoe mfupa"Wacheza draft wana maneno ya shombo
Hujamwelewa mleta mada.
Anazungumzia kaliwa mzigo na dogo baada ya kupewa maneno matamu bila kutegemea akachanua
Unauhakika unaweza kumfundishia pm mkuu????Nitafute pm nije nikupige msasa hutakaa ufungwe kamwe.