Milele na milele sitokaa tena nije kucheza draft wala kuliangalia

Cute Cindy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
211
Reaction score
594
Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo jamaa kuwa kashinda...huyo mtu anafungwa na dogo ninaemwonea kwenye draft..draft mchezo wa kifala sana ule..roho inaniuma 😡😡😭😭

SITOKAA NIJE KULICHEZA TEENA
 
Nitafute pm nije nikupige msasa hutakaa ufungwe kamwe.
 
Kuna jamaa alikuwa ananifungia maneno maneno yenyewe ya shombo et mimi ndo nilikwambia uje hapa umeshiba viporo huko umekuja hapa kuna siku anaweza kuja na miwan ya macho akikuona unajifikiri kete ya kucheza anatoa miwani anakupa sasa mi siwez kuongea hvyo bt huwa ananikera sana
 
hahaaaa

..nakumbuka nikiwa jela niliwafunga ma askari magereza na nikawatemea na shombo mbaya..kesho yake wakanipa carrot chafu..zile safi wakachukua....draft mi nitisha asee
 
Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo jamaa kuwa kashinda...huyo mtu anafungwa na dogo ninaemwonea kwenye draft..draft mchezo wa kifala sana ule..roho inaniuma 😡😡😭😭

SITOKAA NIJE KULICHEZA TEENA

Bandugu?! Nimecheka sana hadi machozi, drafti nalipenda ila sijawahi kia fundi. Kwahiyo ulivyoona supa inanukia ikabidi udai dogo kashinda?!! Nimecheka sana😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom