Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Dayfath na hao wenzake Wajinga sana! Maandiko yanasema Mshahara Wa Dhambi ni Mauti! Wote hao walitenda dhambi huyo milembe(Rip) alitenda yasiyostahili Machoni pa Bwana kwa kuwa na pesa,mali alijisahau kwamba hii dunia ina kanuni katika kuishi na Pia hao jamaa walitenda dhambi ya mauaji kwahiyo Nao wanastaili mauti!
Hayo ni maandiko Matakatifu ni vile tu binadamu tunajisahau tunavopata pesa, vyeo..e.t.c
Tuombeni sana hekima ndugu zanguni. Ukipewa hekima hata mali atakazokupa Mungu utaziendesha katika kanuni! Sasa watu wanapewa Mali hekima hawana shida ndo hizo wanaangukia dhambini mwishowe Mauti.
 
Ni kweli kabisa Mkuu.

Ova
 
unaweza kusympathise mauaji kumbe mtu aliuanza ubaya. kuna jamaa fulani miaka ya nyuma alimdhulumu jamaa yangu milioni 12 huku akimtolea maneno ya kishujaa. akaja kuwekewa mtego akajaa. kilichotokea nikajua kila mtu ana ukatili ndani yake. waliokua hawajui walimuonea sana huruma jamaa na alikua hasemi ukweli wa mambo wa yeye kutendewa alichokuja kutendewa.
 
Tuhadithie kidogo basi, alitendewa nini?
 
Milembeeeee kapatikana haia
...inaendelea
 
Pesa wanazolipwa na USA zinawaua.
 
Wivu wa mapenzi sio tu kwa wapenzi wa jinsia moja hata kama ungekuwa wewe ukute mtu wako yuko na mtu mwingine lazima ujisikie vibaya, so dont judge, mapenzi ni hisia
 
Wivu wa mapenzi sio tu kwa wapenzi wa jinsia moja hata kama ungekuwa wewe ukute mtu wako yuko na mtu mwingine lazima ujisikie vibaya, so dont judge, mapenzi ni hisia
Kuna dada alikusema hapa nikadhani anakuonea ila leo umedhihirisha mwenyewe…

Kwa maana hiyo wewe na yule jamaa aliyetalikiana na mkewe mlikuwa na ‘mapenzi hisia’?
 
Mapenzi ya jinsia Moja ni uchafu
Mapenzi yote ni hivyooo, ukichunguza sanaa unaweza usile hata bata, ninachojua kwenye kila kitu kunahitajika usafi, mbali na mapenzi ya jinsia moja watu wanakula tigo safi na wanafurahia, wewe baki na mentality yako ila wapo watu wana'enjoy, usitaki kuwaaminisha watu unachoamini maana utapoteza muda bure. Let us enjoy life😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…