Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Status
Not open for further replies.
Jamaa aliwaweza sana lakini sasa hivi naona wamemshtukia walahi!
 
Kwa hiyo Mbowe ndio anayepandisha deni la taifa?!!! Mimi binafsi sizugiki!
 
Jamaa aliwaweza sana lakini sasa hivi naona wamemshtukia walahi!
Shubamiti...
Kawatafuna ile mbaya, kustuka kweli, ila hawana la kufanya, yoyote atakayepiga kelele anafanyiwa kweli..
Kuna u mafia mule wa Sicily! Watu hawajuwi tu..
 
[emoji3] mimi sisemi kitu, maana hii JF niki comment lazima nipigwa ban.
 
Shubamiti...
Kawatafuna ile mbaya, kustuka kweli, ila hawana la kufanya, yoyote atakayepiga kelele anafanyiwa kweli..
Kuna u mafia mule wa Sicily! Watu hawajuwi tu..
Hiyo ni kweli pia mimi nilisikia!
Lichama limejaa watu fake kibao, hamna anaye mwamini mwenzake, ni mambo ya kuishi kichina tu walahi!
 
Ngoja watu wake waje kumtetea mkuu wao, watakwambia mbowe ndio kiongozi nambari moja duniani wa upinzani,

Utaambiwa ruzuku ya chama huwa inatunzwa ili kumfariji mwenyekiti katika mapambano
Pathetic walahi hawa viumbe!
How possible!
 
Zimelipwa kwa shughuli/kazi gan ?? lete maelezo kamili, je kias kilicholipwa hakilingan na kazi waliyofanya ? Kaa utulize akiri na uandike vizuri.
Kungekuwa kuna maelezo yasababu ya kulipwa CAG asingetilia mashaka
 
Aisee hii awamu ya JPM watu wasipokuwa makini watakuwa exposed mno!
 
mtoto wa kiume wewe acha unaffiki,weka ushahidi na vielelezo toka brella tujue ukweli sio umbea tu mnaofundishwa hapo lumumba,
 
Wataalamu wa money laundering fuatilieni transactions zote za hiyo kampuni toka ilipoanzishwa.Nasikia harufu ya panya aliyeoza mahali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…