Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

Status
Not open for further replies.
CCM dhamana yote mnayo kufanya mtakavyo Kadiri ya nguvu zenu. Mmeshindwa kuwa Wabunifu wa maendeleo mnabaki kutengeneza matukio tu ambayo hayana tija. Haya tumemaliza kudeal na watoto wa wazinzi sasa mnaleta mambo ya Mbowe. Ili bajeti mbovu Ipi give ndiooooo. Taifa linasinyaa. Sina Chama ni Mimi Mwalimu mdogo mzalendo.
 
I can see namna Mbowe anavyoihenyesha CCM; yaani unafikia hatua ya kuona ni bora kuifuta CDM tu ili watawala watawale kwa amani. Mbowe amekuwa kikwazo kikubwa.
 
Kwanza naomba kwa heshima na taadhima, admin msiunganishe uzi huu na mwingine.

Ndugu wanajukwaa, kama wote tupendavyo, juhudi za kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya kodi za watanzania ni endelevu na popote pesa hizo zinapokwenda sisi watozwa kodi lazima tuhoji.

Nimeona uzi huku ndani
Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

unaozungumzia ripoti ya CAG kwa mwaka 2016/17ambayo pamoja na mambo mengine inazungumzia pesa zilizolipwa M/S Milestone International Co. Ltd kiasi cha 866,600,000. Kumbuka malipo haya ni kwa mwaka mmoja wa 2016, hatujui miaka mingine ya nyuma, na 2017 na 2018.

Nilichotaka kuonyesha ni kuwa kampuni hii mmiliki wake ni Freeman Mbowe, na Managing Director ni Shemeji yake wa kike aitwaye, Kineneko Mtei mdogo wake Dr. Lilian Mtei, mke wa ndoa wa Freeman Mbowe.

Kwanza hapa kuna mgongano wa maslahi na harufu ya rushwa, haya machache ni kwa mujibu wa ripoti ya msajiri pale penye mashaka, kwa kweli CHADEMA kuna ufisadi, otherwise wangeweka wazi ripoti yao ya fedha wazi tuone matumizi yao kwa ujumla na wanaofaidika na kulipwa pesa hizo.
hizi taarifa LHRC na Ofisi za kibalozi za Mataifa ya OECD, hawapenzdi kuzisikia.
wale wanaojidai kutuhubiria sijui [HASHTAG]#ChangeTanzania[/HASHTAG] wakiwemo @MariaSarungi Tsehai, hawapendi kabisa kuyaona madudu haya kwani yanawaaibisha sana.
Yule chizi aishiye Marekani huko aliko anajisikia uharo juu ya madudu haya.
 
Subiri uone watakavyomtetea Mbowe. CHADEMA kama sikio la kufa, hawajiulizi ni kwanini chama kimekuwa katika madeni yasiyoisha wakati hata ofisi hakuna. Kuwa na deni siyo dhambi ila madeni ya CHADEMA fedha zinaenda wapi? Ofisi hakuna, kila siku wanachangishana kulipia nini sijui? Na hapo hujataja zile fusso chakavu walizouziwa.
CHADEMA hilo la udikteta na rushwa za viongozi wao, hawalioni shida kwa kuwa ustawi wa Watanzania haujawahi kuwa issue bali kuiondoa tu CCM. Wanataka kuzima moto kwa jirani wakati kwao moto huo umewashinda.
 
Kwanza naomba kwa heshima na taadhima, admin msiunganishe uzi huu na mwingine.

Ndugu wanajukwaa, kama wote tupendavyo, juhudi za kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya kodi za watanzania ni endelevu na popote pesa hizo zinapokwenda sisi watozwa kodi lazima tuhoji.

Nimeona uzi huku ndani
Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

unaozungumzia ripoti ya CAG kwa mwaka 2016/17ambayo pamoja na mambo mengine inazungumzia pesa zilizolipwa M/S Milestone International Co. Ltd kiasi cha 866,600,000. Kumbuka malipo haya ni kwa mwaka mmoja wa 2016, hatujui miaka mingine ya nyuma, na 2017 na 2018.

Nilichotaka kuonyesha ni kuwa kampuni hii mmiliki wake ni Freeman Mbowe, na Managing Director ni Shemeji yake wa kike aitwaye, Kineneko Mtei mdogo wake Dr. Lilian Mtei, mke wa ndoa wa Freeman Mbowe.

Kwanza hapa kuna mgongano wa maslahi na harufu ya rushwa, haya machache ni kwa mujibu wa ripoti ya msajiri pale penye mashaka, kwa kweli CHADEMA kuna ufisadi, otherwise wangeweka wazi ripoti yao ya fedha wazi tuone matumizi yao kwa ujumla na wanaofaidika na kulipwa pesa hizo.
Weka supporting documents kutoka Brela
 
Mbowe na wanaohusika wawajibike kwa kuchezea kodi za watanzania kwa maslahi binafsi.

Hauna maana kabisa..
*ukisema eti ’kodi tanzania’ unamaanisha kuwa makusanyo ya mapato yanapelekwa Chadema?Nini uhusiano wa mapato kusanywa(kodi) na Chadema wewe?
*Hiyo ni miradi yao binafsi na si Fedha za ‘ruzuku ya vyama’ kama inavyotazamwa hapa...siyo kama “chama cha kijani” kinachotegemea vijisenti na wahisani kujiendesha..
 
Hahahaaaaa!!! Hivi Lumumba pamoja na kusaidiwa na police na wanajeshi na silaha zooote hizo bado mnamuogopa Kamanda mbowe hadi mnamzushia vijembe vya kijinga kama hivi?

Lumumba in action bana. Kazi kwenu. Sizonje, aka bichwa kubwa akijenga uwanja wa ndege, barabara, bot na tra huko kwao kwa fedha six I pidgin is he a na bunge huo sio ufisadi, ufisadi ni hela iliyolipwa MTU wa Mbowe.

Ccm itikadi yao ni ufisadi na bila shaka utamaduni haiachiki. Ccm haiwezi kuondokana wimbi LA ufisadi hadi wafutikiwe mbali.

Huyu Kamanda atawanywesha matobe hadi mshangae. Kila kukicha mnaibua vituko vya ccm. Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza siku ya kufa ccm propaganda zote ni za kindezi tu.
 
Kwa hiyo huyu shemeji wa Mbowe hana uwezo wa kufungua Kampuni au kila mtu ambae ndg yake au shemeji yake anafanya siasa basi huyo mtu hatakiwa kabisa kufanya Biashara mana mtasema ni za huyu ndugu.

Hivi hii nchi mbona ina watu wapuuzi namna hii?? Mtei alikua Gavana kweli alishindwa kusomesha mtoto aweze kufungua Biashara kweli?? Tumieni akili kuwaza kusaidia nchi mnawaza upuuzi tuuuuu
 
Tupe company profile mkuu..inajihusisha na nini?
Naona kama wivu wa kike umekuozonga.
 
bado mnamuogopa Kamanda mbowe
Yupii..au huyu ategemeae viwanda vya saluni.
IMG-20180404-WA0004.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom