Car4Sale Miliki gari kwa kulipa kidogo kidogo

Car4Sale Miliki gari kwa kulipa kidogo kidogo

Mwanza sales

Senior Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
193
Reaction score
87
Tupo mwanza tunakopesha magari kwa kulipa kidogo kidogo
Karibuni sana
Kwa anaehitaji gari tuwasiliane kwa
0742159555
1478539577501.jpg
 
Ndugu zangu hii ni yard ya magari njoo chagua gari ulipendalo lipa kiasi chukua gari kiasi kinachobaki lipa taratibu kwa makubaliano
 
Na aseme malipo ya awali ni asilimia ngapi ya thamani yote ya gari? Naona anasema tu unalipa pesa kiasi flani kisha zingine unalipa kidogokidogo.
Kuanzia asilimia 50 - 70 ndio kianzia (deposit) kiasi kinachobaki utamalizia kwa kulipa kulingana na makubaliano
 
Kuanzia asilimia 50 - 70 ndio kianzia (deposit) kiasi kinachobaki utamalizia kwa kulipa kulingana na makubaliano

Namna hiyo mkuu, sasa kwa hali hii mmpejipangaje kuwa na kikosi cha kuwapitia wakopaji na kujiridhisha uwezo wao wa kulipa hasa kwenye hichi kipindi cha mpito? Biashara zinafungwa, makapuni yanatangaza hasara, hilo mtakabiliana nalo vipi mkuu? Shukrani
 
Usijali tumejipanga juu ya hilo
 
Hilux D4-D 2.5 Diesel, Manual 4WD ya mwaka 2010, double cabin mnauza shilingi ngap na advance mnapokea kiasi gani??
 
Back
Top Bottom