mmakonde mjanja
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 288
- 128
Mkuu nimekuuliza caldna
Munauzaje
New model
Munauzaje
New model
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na uwezo wako ntakupa miezi mnnemtu anayefanya kazi serikalini unakuwa na uhakika maana kufukuzwa kwake ni kazi kubwa(japo sio karne hii)private sector mda wowote anatimuliwa mtawezaje kumkopesha mtu huyo?Kwa mfano nahitaji gari la m 8,nalipwa m 2 net nkilipa m 4 hyo 4 utaigawa vipi kulingana na mshahara wangu?so ntalipa kwa mda gani?
Najua sio bei unahitaji tu,kuna rangi ,milage etc nakuomba njoo Ofcn chagua alafu tuzungumze
Zote zipo,used from Japan na zenye Namba za hapa bongoToa maelezo ya kujitosheleza.Je ni used au mpya?
toyota brevis mnayo kama ipo nitangulize ngapiTupo mwanza tunakopesha magari kwa kulipa kidogo kidogo
Karibuni sana
Kwa anaehitaji gari tuwasiliane kwa
0742159556
View attachment 430595
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yutong marejesho shilingi ngapi?
Hii ndio dhamana pekee tunayobaki nayo wewe unaondoka na gari sisi tunabaki na gari kwa makubaliano maalumuam sure kero ni kulitoa gari then mkabaki na kadi ya gari!
NimekuulizaKama wewe ni Mteja karibu ofisini uchague gari tufanye biashara