Car4Sale Miliki gari kwa kulipa kidogo kidogo

Car4Sale Miliki gari kwa kulipa kidogo kidogo

Huyu jamaa muongo huyu,Namba yenyewe aloweka si yake anapokea Dada wa watu yuko huko iringa ukimuuliza yy mwenyewe anashangaa
Anasema wengi wamempigia na habari wanazomuambia ni kuhusu magari..
Kua serious mkuu
Jamani kukosea kupo(typing error) cheki hiyo Namba nimeiandika vizuri sasa,naombeni samahani sana kwa wote waliopata usumbufu ..sasa hivi nimerekebisha Namba napatikana vizuri 'karibuni sana'
 
Mtapewa gar bila kadi halafu baadae mnatengenezewa bonge la story...kaeni chonjo
Usiwatishe watu kila kitu kinafanyika wazi na kwa mujibu wa sheria hakuna ujanja hapa, Njoo wewe mwenyewe ujionee mambo yanavyofanyika
 
Duh, siamini kama mpo serious, kwa hali ya uchumi ilivyo, na kwa desturi ya mtanzania ya kupenda dhuluma na biashara za kiujanjaujanja; naona mmeamua kujivisha mabomu.
 
Mkuu mbona kimya! Nasubiri jibu.

Land cruiser pick up macho ya panzi bei gani?
 
mnafanya na hii kitu dar?
kama mpo dar naomba contact za ofisi zenu dar nije yard yenu na 50% ya Vits RS-Blue au Gray kama zipo
 
mnafanya na hii kitu dar?
kama mpo dar naomba contact za ofisi zenu dar nije yard yenu na 50% ya Vits RS-Blue au Gray kama zipo
Hapana,ni Mwanza tu kwa sasa..haijalishi Mteja anatokea Mkoa gani njoo Mwanza tufanye biashara
 
Back
Top Bottom