Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
- Thread starter
-
- #61
Jamani kukosea kupo(typing error) cheki hiyo Namba nimeiandika vizuri sasa,naombeni samahani sana kwa wote waliopata usumbufu ..sasa hivi nimerekebisha Namba napatikana vizuri 'karibuni sana'Huyu jamaa muongo huyu,Namba yenyewe aloweka si yake anapokea Dada wa watu yuko huko iringa ukimuuliza yy mwenyewe anashangaa
Anasema wengi wamempigia na habari wanazomuambia ni kuhusu magari..
Kua serious mkuu
Usiwatishe watu kila kitu kinafanyika wazi na kwa mujibu wa sheria hakuna ujanja hapa, Njoo wewe mwenyewe ujionee mambo yanavyofanyikaMtapewa gar bila kadi halafu baadae mnatengenezewa bonge la story...kaeni chonjo
Kwa sasa Hatuna hiyo gari yard samahani sana kwa hilo.Mkuu mbona kimya! Nasubiri jibu.
Land cruiser pick up macho ya panzi bei gani?
Hapana,ni Mwanza tu kwa sasa..haijalishi Mteja anatokea Mkoa gani njoo Mwanza tufanye biasharamnafanya na hii kitu dar?
kama mpo dar naomba contact za ofisi zenu dar nije yard yenu na 50% ya Vits RS-Blue au Gray kama zipo
Namba nimesha andika vizuri sasa hivi uko sawa kabisa 0742159555Andika hiyo namba tena mkuu