Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nakukumbusha kuwa kwa mwanaume vita haikimbiwi bali inapiganwa. Nafurahi kukuona hapa tena. UbarikiweHongera kwa jukumu kakangu.
Upo sahihihi kabisa mkuu, mbali na muonekano pia ni gari ya kibabe sana, jamaa yangu mwenye hii gari hunihadithia namna anavyonyanyasa watu huko barabarani kwenye safari ndefu.Hii gari sijui Toyota waliwaza nini ni gari yenye muonekano mzuri kuliko Toyota zote.
Mwaka 2013Nina 25M cash naiomba hiyo gari.
New model je.Hii gari sijui Toyota waliwaza nini ni gari yenye muonekano mzuri kuliko Toyota zote.
Mkuu kati ya gari za Toyota Fortuner ins muonekano wa kiulaya ulaya hivi.Gari hii mbona kimeo
Harrier hiyo new model haiwezi kugusa kwa Fortuner mkuu ni gari classic sana kwa gari za Toyota.Harrier
New model je.
Sahihi kabisa mkuu ,huenda akaona hata hii comment yako akajua kumbe yule jamaa wa siku ile nilimsabibishia ajali ni ExtrovertHio gari ni ya hapa Moshi, naijua sana mwenye nayo alishawahi nisababishia ajali akaenda kunifanyia service kwa gharama zake.
Hapo pichani ni barabara ya kwenda TPC baada ya kupita Getifonga.
Mkuu ebu tupe udabwi dabwi kdogo siku hyo ajali ktk mazingira ganHio gari ni ya hapa Moshi, naijua sana mwenye nayo alishawahi nisababishia ajali akaenda kunifanyia service kwa gharama zake.
Hapo pichani ni barabara ya kwenda TPC baada ya kupita Getifonga.
Mazingira ya mjini tu. Siku hiyo jamaa alikuwa na Audi A4 akanivagaa kwa nyuma.Mkuu ebu tupe udabwi dabwi kdogo siku hyo ajali ktk mazingira gan
Kumbuka hio ni toyota hilux tu iliyofunikwa kwa nyuma mzee baba.Hii gari sijui Toyota waliwaza nini ni gari yenye muonekano mzuri kuliko Toyota zote.
Nchi nzima Supra hazifiki hata 5.mzee Toyota Supra zipo?
Fortuner ni 4 x 4 Harrier inakaa..Harrier
New model je.