Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

Hio gari ni ya hapa Moshi, naijua sana mwenye nayo alishawahi nisababishia ajali akaenda kunifanyia service kwa gharama zake.

Hapo pichani ni barabara ya kwenda TPC baada ya kupita Getifonga.
Swali ni je, yafaa kununuliwa? Isijekuwa mwenye nalo ameshalichakaza sasa anauza hayo mabati. Je, tumsogelee??
 
Hahahah hilo gari ni piru kabisa, aliopata nalo ajali ni Audi! Alipasua taa na minor scratches.

Ila hio fortuner imenyooka sana.
 
Ni mjumbe au mtasha huyo? Kama ni mjumbe huenda anataka kujenga nyumba hivyo hiyo negotiable ataondoa hapo hiyo 5 tu. Lakini ni gari nzuri e
 
Gari ni piruu yani gari yenye matunzo ya uhakika! Sio gari ya kapuku! Jamaa ni mjumbe.
 
Back
Top Bottom