Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

Car4Sale Miliki gari ya heshima Fortuner ya mwaka 2013

Hio gari ni ya hapa Moshi, naijua sana mwenye nayo alishawahi nisababishia ajali akaenda kunifanyia service kwa gharama zake.

Hapo pichani ni barabara ya kwenda TPC baada ya kupita Getifonga.
Kwahiyo hapo kainyoosha sehemu na kupiga rangi sehemu kadhaa.
Sifa kwa fundi baada ya ajali
Tumepata taarifa zaidi ya gari
 
Kwahiyo hapo kainyoosha sehemu na kupiga rangi sehemu kadhaa.
Sifa kwa fundi baada ya ajali
Tumepata taarifa zaidi ya gari
Kwa mujibu wa maelezo ya extrovert jamaa siku hiyo alikua na Audi hii Fortuner haina historia ya ajali
 
Back
Top Bottom