Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #61
Sijajua mpaka sasa tatizo liko wapihivi shida ni nn
Hio gari ni ya hapa Moshi, naijua sana mwenye nayo alishawahi nisababishia ajali akaenda kunifanyia service kwa gharama zake.
Hapo pichani ni barabara ya kwenda TPC baada ya kupita Getifonga.
Ndio mkuu imelipiwa kodiHii imelipiwa kodi?
Maisha haya bana.Prado Diamond
Engine:1kz
Number 😀TT
Bei: Milioni 35View attachment 1548518View attachment 1548519View attachment 1548520View attachment 1548521View attachment 1548522
Dah jamaa kalifanya lori