wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Najua wanachokiongea Ni maigizo tu,hawana uwezo wa kukitekeleza.Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini
Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini
Toyota amekosa comfortability tu. Gari zake full kukamaareliability sio kitu cha kuhofia kwa Toyota mkuu, a few breakdowns record for 98% fleet of their cars hata hizo tunazochukua kwenye 2nd hand markets
Hawana.....waliongea tuu ili ionekane nae kuna aliloongeaNajua wanachokiongea Ni maigizo tu,hawana uwezo wa kukitekeleza.
Hata hao mawaziri wanavimba kwenye VX za serikali ambazo ni brand new.Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini
Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini
Zipo ambazo ni comfortable mkuu zenye engine kuanzia 2500cc nyingi zipo vizuri ila wengi hatuzitaki hizo sababu zinatupeleka sheli kuliko kawaida.Toyota amekosa comfortability tu. Gari zake full kukamaa
Unadhani hawajui Mjomba?wanajua Sana Ila wanadhani kazi ya fuvu Ni kushikilia meno tu'Zipo ambazo ni comfortable mkuu zenye engine kuanzia 2500cc nyingi zipo vizuri ila wengi hatuzitaki hizo sababu zinatupeleka sheli kuliko kawaida.
Wanakimbilia vigoda vya 1.0L mpaka 1.3L halafu wanalalamika haviko comfortable😅Unadhani hawajui Mjomba?wanajua Sana Ila wanadhani kazi ya fuvu Ni kushikilia meno tu'
Kenya wao wamewezaje?? Kikubwa wapunguze tu kodi ila hili linawezekana kabisa..Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini
Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini
Hapo kwenye kupunguza kodi ndiyo kipengele maana liserikali letu ni likubwa mno watakosa hela ya kulipana mishaharaKenya wao wamewezaje?? Kikubwa wapunguze tu kodi ila hili linawezekana kabisa..
Shida sio pesa, pesa zinafujwa tu. Ukiangalia report za CAG utaona kuna upotevu mkubwa wa pesa ovyoovyo tu..Hapo kwenye kupunguza kodi ndiyo kipengele maana liserikali letu ni likubwa mno watakosa hela ya kulipana mishahara
Mkuu,kodi ya gari iliyotoka karibuni ni kubwa kuliko iliyo kongwe,kiufupi hii kodi wameiweka mbele nyuma na nyuma mbele.Ili kuokoa pesa kwa ajili ya kununulia vipuri kwa gari chakavu walipaswa wapunguze kabisa kodi kwa gari za miaka ya karibuni ili wanunuzi wavutiwe na kununua gari mpya na waweke kodi ya kukata na shoka pmj na faini ya uchakavu kwa gari za kitambo ili wanunuzi wahofie kutuletea hizo machine za kuja kunyonya pesa zetuKenya wao wamewezaje?? Kikubwa wapunguze tu kodi ila hili linawezekana kabisa..
Yes mkuu, na hicho ndio kitu Kenya wamefanya na wamefanikiwa. Hawazuii magari ya miaka kumi nyuma lakini kodi yake iko juu sana kitu ambacho mnunuaji makini ata'opt gari za miaka ya karibuniMkuu,kodi ya gari iliyotoka karibuni ni kubwa kuliko iliyo kongwe,kiufupi hii kodi wameiweka mbele nyuma na nyuma mbele.Ili kuokoa pesa kwa ajili ya kununulia vipuri kwa gari chakavu walipaswa wapunguze kabisa kodi kwa gari za miaka ya karibuni ili wanunuzi wavutiwe na kununua gari mpya na waweke kodi ya kukata na shoka pmj na faini ya uchakavu kwa gari za kitambo ili wanunuzi wahofie kutuletea hizo machine za kuja kunyonya pesa zetu
Kenya ni capitalist country, kule masikini ni masikini haswa na tajiri ni tajiri kweli, hii sheria inatumika ili masikini azidi kuwa mtumwa wa tajiri kwa kumpotezea kabisa ndoto zake,Kenya wao wamewezaje?? Kikubwa wapunguze tu kodi ila hili linawezekana kabisa..
Kenya huwezi kabisa kuingiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka 8, hakuna kabisa option hata ya kulipa uchakavuYes mkuu, na hicho ndio kitu Kenya wamefanya na wamefanikiwa. Hawazuii magari ya miaka kumi nyuma lakini kodi yake iko juu sana kitu ambacho mnunuaji makini ata'opt gari za miaka ya karibuni
Mawazo ya kimaskini hayo. Toyota Surf 2990cc petrol inakula kawaida tuZipo ambazo ni comfortable mkuu zenye engine kuanzia 2500cc nyingi zipo vizuri ila wengi hatuzitaki hizo sababu zinatupeleka sheli kuliko kawaida.
Sisi Wajamaaa ndo sisi tunataka Katiba mpya kwa mabango ya manila?Kenya huwezi kabisa kuingiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka 8, hakuna kabisa option hata ya kulipa uchakavu
Ndo mana masikini kenya hawezi hata kuota ndoto za kumiliki gari , gari ya bei rahisi kabisa kenya ni karibu milioni 26 za kibongo
Gari ya cc 2990 petroli ile kawaida ??Mawazo ya kimaskini hayo. Toyota Surf 2990cc petrol inakula kawaida tu
2,900ccGari ya cc 29990 petroli ile kawaida ??
Niliaanisha hiyo hiyo ngoja nika edit2,900cc