Miliki SUV Bei rahisi kutoka land Rover

Miliki SUV Bei rahisi kutoka land Rover

Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini

Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini
Najua wanachokiongea Ni maigizo tu,hawana uwezo wa kukitekeleza.
 
Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini

Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini
Hata hao mawaziri wanavimba kwenye VX za serikali ambazo ni brand new.

Wakirudi kwenye maisha ya kawaida wanaishia kununua Prado mtumba toka Japan.

Hizi sheria haziwezi kupitishwa kirahisi.
 
Zipo ambazo ni comfortable mkuu zenye engine kuanzia 2500cc nyingi zipo vizuri ila wengi hatuzitaki hizo sababu zinatupeleka sheli kuliko kawaida.
Unadhani hawajui Mjomba?wanajua Sana Ila wanadhani kazi ya fuvu Ni kushikilia meno tu'
 
Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini

Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini
Kenya wao wamewezaje?? Kikubwa wapunguze tu kodi ila hili linawezekana kabisa..
 
Mkuu,kodi ya gari iliyotoka karibuni ni kubwa kuliko iliyo kongwe,kiufupi hii kodi wameiweka mbele nyuma na nyuma mbele.Ili kuokoa pesa kwa ajili ya kununulia vipuri kwa gari chakavu walipaswa wapunguze kabisa kodi kwa gari za miaka ya karibuni ili wanunuzi wavutiwe na kununua gari mpya na waweke kodi ya kukata na shoka pmj na faini ya uchakavu kwa gari za kitambo ili wanunuzi wahofie kutuletea hizo machine za kuja kunyonya pesa zetu
 
Yes mkuu, na hicho ndio kitu Kenya wamefanya na wamefanikiwa. Hawazuii magari ya miaka kumi nyuma lakini kodi yake iko juu sana kitu ambacho mnunuaji makini ata'opt gari za miaka ya karibuni
 
Kenya wao wamewezaje?? Kikubwa wapunguze tu kodi ila hili linawezekana kabisa..
Kenya ni capitalist country, kule masikini ni masikini haswa na tajiri ni tajiri kweli, hii sheria inatumika ili masikini azidi kuwa mtumwa wa tajiri kwa kumpotezea kabisa ndoto zake,
Kenya wananunua magari ya chini ya miaka nane tangu kuzalishwa , kwa mwaka huu 2022 mkenya anarushusiwa kuingiza gari ya kuanzia mwaka 2014 kuja juu, hata uipunguzie kodi to zero gari ya chinj ya miaka 8 ni very expensive kuinunua na wengi watashindwa
Toyota corolla ya mwaka 2014 kwa mfano si chini ya dola 7000, hapo hujalipa kodi
 
Yes mkuu, na hicho ndio kitu Kenya wamefanya na wamefanikiwa. Hawazuii magari ya miaka kumi nyuma lakini kodi yake iko juu sana kitu ambacho mnunuaji makini ata'opt gari za miaka ya karibuni
Kenya huwezi kabisa kuingiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka 8, hakuna kabisa option hata ya kulipa uchakavu
Ndo mana masikini kenya hawezi hata kuota ndoto za kumiliki gari , gari ya bei rahisi kabisa kenya ni karibu milioni 26 za kibongo
 
Sisi Wajamaaa ndo sisi tunataka Katiba mpya kwa mabango ya manila?
 
Tujivuteni humu, unyama sana huu..

nissan_patrol_y62_suv5d-3467.jpg

C.c Nuzulati
 
Back
Top Bottom