wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Najua wanachokiongea Ni maigizo tu,hawana uwezo wa kukitekeleza.Mbali na kuangalia au kusingizia uzee wa magari ndo chanzo cha ajali pia wanasema gari zee linahitaji vipuri vingi ili kulifanya liwe barabarani na vipuri hivyo vinakomba pesa ya kigeni kwenye kuvileta nchini
Kikubwa hatujafikia huo uchumi wa kuzuia gari zenye umri WA zaidi ya miaka kumi kuingia nchini