Milioni 22 ninunue gari ninayoipenda au nichukue IST kwanza? Sijawahi kumiliki gari

Bajeti yako ya kuhudumia hilo gari kwa mwezi ipoje? Mafuta au service ikitokea imepata hitilafu?

Nadhani kununua gari sio tabu, shida inakuja kuihudumia kwenye mafuta, parts and services.
 
Naomba wajuzi mniambie, kuna jamaa wanasema nichukue IST kwa ajiri ya kupata uzoefu wa magari kwanza

Vuta chuma unayoipenda..gari yangu ya kwanza ilikua expensive kwa upande wangu lkn sikua nashindwa kuiweka mafuta wala sijashindwa kuiendesha kisa nilishindwa hudumia spear sbb haikuwahi haribika kipindi chote cha utumiaji wa miaka mitatu adi kuiuza sikuwahi gusa popote zaidi ya service za oil tu..asikutishe mtu uanze sukuma katoroli IST wakati una budget nzuri kabisa..adi ushike mil 22 mkononi basi una uwezi wa kumiliki ndinga yoyote ya saizi ya kati..
 
Wow,lilikuwa ndinga gani hilo mkuu tujilipue maana yake kuna kaongezeko cha Magu haka ka punguzo la kodi kanatosha kabisa kuishi kistar?
 
Vuta chuma unayoipenda..gari yangu ya kwanza ilikua expensive kwa upande wangu lkn sikua nashindwa kuiweka mafuta wala sijashindwa kuiendesha kisa nilishindwa hudumia spear sbb haikuwahi haribika kipindi chote cha utumiaji wa miaka mitatu adi kuiuza sikuwahi gusa popote zaidi ya service za oil tu..asikutishe mtu uanze sukuma katoroli IST wakati una budget nzuri kabisa..adi ushike mil 22 mkononi basi una uwezi wa kumiliki ndinga yoyote ya saizi ya kati..
inaweza ikawa mill 22 ya biko aje kuteseka na bimmer..
 
Bajeti yako ya kuhudumia hilo gari kwa mwezi ipoje? Mafuta au service ikitokea imepata hitilafu?

Nadhani kununua gari sio tabu, shida inakuja kuihudumia kwenye mafuta, parts and services.
Uko sahihi kabisa mkuu, naona watu wengi wanakimbilia magari makali alafu baada ya mda wanayapaki ata hela ya mafuta hana
 
Niazime m2.5 ntakurudishia 3.5 miezi mitano baadae
 
ist ni laini sana ,chukua crown
 
Back
Top Bottom