Milioni 22 ninunue gari ninayoipenda au nichukue IST kwanza? Sijawahi kumiliki gari

Milioni 22 ninunue gari ninayoipenda au nichukue IST kwanza? Sijawahi kumiliki gari

Mkuu uzoefu sio shida, nlianza BMW 3 series kama gari yangu ya kwanza, then subaru legacy b4......kwa bajeti hiyo daka hata crown paka mweusi mkuu ule mema ya nchi!

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Hahahahah Crown ni unyama sana. Hasa ukiwa mtu wa kusafiri safiri😂😂😂
 
Vuta chuma unayoipenda..gari yangu ya kwanza ilikua expensive kwa upande wangu lkn sikua nashindwa kuiweka mafuta wala sijashindwa kuiendesha kisa nilishindwa hudumia spear sbb haikuwahi haribika kipindi chote cha utumiaji wa miaka mitatu adi kuiuza sikuwahi gusa popote zaidi ya service za oil tu..asikutishe mtu uanze sukuma katoroli IST wakati una budget nzuri kabisa..adi ushike mil 22 mkononi basi una uwezi wa kumiliki ndinga yoyote ya saizi ya kati..
Eti kitoroli we jamaa nilikuwa na kuona mjanja Kumbe bonge moja la mluga luga…

Sub compact cars ndo zinazofanya vzuri kwa ss duniani, fuel economy, parking space, minimum pollution as compared to large engine inaongeza environment friendly…

Pia gari ni km nguo, kila mtu huvaa aipendayo, na ni km chakula kila m2 hula akipendacho.

Na usikalili kuwa kila anaeendesha IST uchumi wake ni dhohof km wako, Ulie jitwisha mnissan fuga wa miaka 20 iliopita huku ukiish kwny nyumba y urithi, usiejua kodi na ss wese linakutoa wengi…

Mashaka yangu makuu yapo kwny jinsia yako, isije ikawa wale wa haki sawa, Maana unachojua n kebehi n dharau
 
Kaka nisikilize,
Kama hujawahi kabisa kumiliki gari ya kukuchangamsha akili. Nunu brevis 6mil hizo zinazobaki zitakupa uzoefu wa spea na mafuta.
Ist itakulemaza akili.
Dah eti achangamshe akili😀😀 kwa week kwa Fundi week Road.
 
Miaka minne sasa ndugu sanalii ulinunua gari gani na vipi ulipata uzoefu gani ambao ungependa kuwashauri na wengine?.

Mimi ntabaki kwenye babywalker hadi nikuwe mkubwa nijue kukimbia Wakuu.
 
mkuu changamoto ya gari ni huduma kwa maana ya mafuta kwanza labda na vipuli

Watu wenye uchumi mdogo wanapendelea Vitz, Passo na jamii nyingine yenye injini ya CC 1000
Wenye uchumi wa kati wanakwenda sana na Ist, Rumion na jamii yenye injini ya CC 1200 - 1600

Uchumi nafuu wanakwenda na RV 4 na jamii yenye injini CC 2000

Wale wenye uchumi agalau wanakwenda na Hurrier, Crown na jamii zenye injini CC 2500

Nakuendelea
 
IST ni chaguo sahihi kama ndo gari lako la kwanza. Ila jua model ya mwanzo utabaaki na chenji, model inayofuata baada ya mwanzo itacheza kwenye hiyo bei. Ila nashauri chukua toleo la kwanza.
 
Back
Top Bottom