Hahahahah Crown ni unyama sana. Hasa ukiwa mtu wa kusafiri safiri😂😂😂Mkuu uzoefu sio shida, nlianza BMW 3 series kama gari yangu ya kwanza, then subaru legacy b4......kwa bajeti hiyo daka hata crown paka mweusi mkuu ule mema ya nchi!
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Eti kitoroli we jamaa nilikuwa na kuona mjanja Kumbe bonge moja la mluga luga…Vuta chuma unayoipenda..gari yangu ya kwanza ilikua expensive kwa upande wangu lkn sikua nashindwa kuiweka mafuta wala sijashindwa kuiendesha kisa nilishindwa hudumia spear sbb haikuwahi haribika kipindi chote cha utumiaji wa miaka mitatu adi kuiuza sikuwahi gusa popote zaidi ya service za oil tu..asikutishe mtu uanze sukuma katoroli IST wakati una budget nzuri kabisa..adi ushike mil 22 mkononi basi una uwezi wa kumiliki ndinga yoyote ya saizi ya kati..
Dah eti achangamshe akili😀😀 kwa week kwa Fundi week Road.Kaka nisikilize,
Kama hujawahi kabisa kumiliki gari ya kukuchangamsha akili. Nunu brevis 6mil hizo zinazobaki zitakupa uzoefu wa spea na mafuta.
Ist itakulemaza akili.
Full kukupasua yaniDah eti achangamshe akili😀😀 kwa week kwa Fundi week Road.
NakaziaEti sijawahi miliki gari..
Ndio nyie mnaotusumbua na honi usiku ili majirani tujue umerudi