Milioni 35 mtu unapata gari gani nzuri

Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.

Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.

Ahsante.
Chukua HONDA VEZEL Kila sehemu ukipita/park watu wanatoa macho yani ni bonge moja la USV With 2000cc na 210hp yan hapo magar mengi long safar yanakaa..
Kwanza hayo magar ni machache sana ukilinganisha na team Toyota
Pls tofautisha Honda Vezel Vs Honda CRV


Pampu yenyewe ndio hii
 
Watu wamekosa ushauri...hehehehe..ungesema una milioni 5 unahitaji gari wangekuja kutukana, akili zetu tunazijua wenyewe..
 
Usitamani vya Wanaume IPO siku utainamishwa
 
1. Ongeza bajeti uchukue BMW X5 ya kuanzia 2009 ni classic.
2. Nissan Xtrail ya 2014 bei yake ni 40m.
3. Discovery 4...ila kuanzia 65m kupanda...
 
Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.

Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.

Ahsante.
Hivi mtu anakuaje na 35m halafu hajui gari ya kununua? Kuna vitu vingine hua vinanishangaza sana.
 
Siyo kila mtu anajua kila kitu, Timba anasemi tatu lakini hata kuinstall what'sApp kwenye simu yake ni mtihani!!
Sometimes nawaza nikubaliane na ile motion ya "Education is better than money" 😀 Sa mtu una hela halafu unaanza kujiaibisha kuomba omba watu wakusaidie kuinstall whatsapp 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…