Milioni 35 mtu unapata gari gani nzuri

Milioni 35 mtu unapata gari gani nzuri

Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.

Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.

Ahsante.
Chukua HONDA VEZEL Kila sehemu ukipita/park watu wanatoa macho yani ni bonge moja la USV With 2000cc na 210hp yan hapo magar mengi long safar yanakaa..
Kwanza hayo magar ni machache sana ukilinganisha na team Toyota
Pls tofautisha Honda Vezel Vs Honda CRV


Pampu yenyewe ndio hii
FB_IMG_1634744727201.jpg
FB_IMG_1634744724244.jpg
Screenshot_20210929-092157.jpg
 
Watu wamekosa ushauri...hehehehe..ungesema una milioni 5 unahitaji gari wangekuja kutukana, akili zetu tunazijua wenyewe..
 
Usitamani vya Wanaume IPO siku utainamishwa
Aiseee, huu uzi nimeanza muda mrefu kuuruka ila kila nikiingia jf naukuta umo juu juu. Nimeamua nifungue japo sina ushauri ata bei za baiskeli zinanipita kushoto!

Watu wana hela bwana, yani natamani kwenye hiyo 34mil nipewe ata 200k niifanyie makubwa :nyieeeee🤔🤔 cjui wengine tuliumbwaje🤗
 
1. Ongeza bajeti uchukue BMW X5 ya kuanzia 2009 ni classic.
2. Nissan Xtrail ya 2014 bei yake ni 40m.
3. Discovery 4...ila kuanzia 65m kupanda...
 
Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.

Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.

Ahsante.
Hivi mtu anakuaje na 35m halafu hajui gari ya kununua? Kuna vitu vingine hua vinanishangaza sana.
 
Siyo kila mtu anajua kila kitu, Timba anasemi tatu lakini hata kuinstall what'sApp kwenye simu yake ni mtihani!!
Sometimes nawaza nikubaliane na ile motion ya "Education is better than money" 😀 Sa mtu una hela halafu unaanza kujiaibisha kuomba omba watu wakusaidie kuinstall whatsapp 🤣🤣
 
Back
Top Bottom