Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Asisahau kuwekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari SanaNilitaka kumshauri sawa na ulivyosema. Thanks View attachment 1984501
Chukua HONDA VEZEL Kila sehemu ukipita/park watu wanatoa macho yani ni bonge moja la USV With 2000cc na 210hp yan hapo magar mengi long safar yanakaa..Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.
Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.
Ahsante.
Aiseee, huu uzi nimeanza muda mrefu kuuruka ila kila nikiingia jf naukuta umo juu juu. Nimeamua nifungue japo sina ushauri ata bei za baiskeli zinanipita kushoto!
Watu wana hela bwana, yani natamani kwenye hiyo 34mil nipewe ata 200k niifanyie makubwa :nyieeeee🤔🤔 cjui wengine tuliumbwaje🤗
Duh kumbe ni probox? Asee wametisha.Yap, nadhani ile gari ni Toyota probox najaribu kumbuka kumbuka kama niko sahihi. Kule ndio wanaita mchomoko.
Toyota probox/suceed!Gari fulani hivi binafsi sizijui jina, wanaziagiza sana watu wa Kigoma.
Eenhe ndio, na kule kigoma wanabebea abiria.Toyota probox/suceed!
Mtoto wa hiace van ile
🤣🤣🤣View attachment 1983933
Huna haja ya kuchoma mamilioni yote hayo chukua hako ka mazda hakazidi milioni 20 zimgine mnunulie mchepuko ka gari au binti yako aliyeko hapo CBE
Haa TehGari ya Waha wa Ujiji na Kanda jirani na mtoa mda ni Muha wa Ujiji
Hivi mtu anakuaje na 35m halafu hajui gari ya kununua? Kuna vitu vingine hua vinanishangaza sana.Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.
Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.
Ahsante.
Siyo kila mtu anajua kila kitu, Timba anasemi tatu lakini hata kuinstall what'sApp kwenye simu yake ni mtihani!!Hivi mtu anakuaje na 35m halafu hajui gari ya kununua? Kuna vitu vingine hua vinanishangaza sana.
Sometimes nawaza nikubaliane na ile motion ya "Education is better than money" 😀 Sa mtu una hela halafu unaanza kujiaibisha kuomba omba watu wakusaidie kuinstall whatsapp 🤣🤣Siyo kila mtu anajua kila kitu, Timba anasemi tatu lakini hata kuinstall what'sApp kwenye simu yake ni mtihani!!