Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Mvue mtu bajaji used yenye hali nzuri halafu ukomae mwenyewe utatoboa.Nadhani bajaji ipo kwenye usalama kuliko Toyo.
 
Hiyo 3m wekeza tu kwenye nyumba alafu 1.5m unipe Mimi..upate faida ya 5m kwa miezi miwili tu..[emoji12]
Mmmh! naamn katka biashara ila ningepata mchanganuo wahili ingependeza naamn inawezekana
 
Huu uuzi ni kipimo cha akili ya watanzania.Watanzania wengi huamini kujenga nyumba ndio mafanikio ktk maisha.Warabu na wahindi huamini ktk uwekezaji.Watanzania wengi wamekosa somo la ujasiliamali hivyo huishi ktk mazoea.
Nyumba zinawafaa wastaafu, au real estate entrepreneur sio tu kujenga utegemee utatoboa.Hapa ni watu wawili tu ndio nimeona wanasilka ya ujasiliamali.
Binafsi sijawahi ona mtu anaemiliki boda yeye mwenyewe akafeli bali anapokabidhi vichaa.Boda ya kwako haina hasara. Ktk watu 10 ni wangapi wanavunjika miguu kwa mwaka? Yani watu wamekalia kutishana badala ya Ku analyse faida na hasara nyumba italeta sh.kwa mwaka na boda italeta sh.ngapi.
Kama huna uzoefu Fanya mchanganuo, tafuta mtu anaemiliki boda kaeni mjadili,achana na mawazo ya vitisho.
 
Ukitaka kujipima kama we we una roho ya kijasilia Mali ni kuamua kuingiza pesa ktk business.Wengi ni waoga..Ujasilia Mali sio maneno Bali vitendo.Is all about taking risk.Jipime kama unatosha kanunue boda vinginevyo kajenge.Binafsi nshapoteza sana ila sijawahi koma.Mashine can buy house but house can not buy mashine.
 
Ha ha ha umenikumbusha mambo ya DESI watu walivyokuwa wanatapeliwa kwa kupanda mbegu,..matokeo yake mbegu hazikuota
Hiyo 3m wekeza tu kwenye nyumba alafu 1.5m unipe Mimi..upate faida ya 5m kwa miezi miwili tu..[emoji12]
 
Nunua boda moja,.inayobakia fanya finishing ya nyumba..
 
Busara hapo ni kuigawa hiyo pesa, nusu ya pesa nunua boda boda moja upige kazi mwenyewe na nusu nyingine iliyobakia itulize kibindoni ili kuja kumalizia nyumba yako. Boda boda ikilipa fresh, unajazia pesa uliyovuna+Pesa ya kibondoni na kumalizia nyumba yako.

Heri nusu shari kuliko.......
Usiweke mayai yote kwenye......
 
Ha ha ha umenikumbusha mambo ya DESI watu walivyokuwa wanatapeliwa kwa kupanda mbegu,..matokeo yake mbegu hazikuota
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwakweli
 
Mchango mzuri sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…