EmmanueldTz
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 288
- 262
HahahaaahaaaaChukua hapo 10K chap, agiza mdudu kilo moja na Serengeti mbili baridi ,piga msosi ukimaliza uanze kutafakari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaahaaaaChukua hapo 10K chap, agiza mdudu kilo moja na Serengeti mbili baridi ,piga msosi ukimaliza uanze kutafakari
Siyo mbaya mkuuChukua hapo 10K chap, agiza mdudu kilo moja na Serengeti mbili baridi ,piga msosi ukimaliza uanze kutafakari
Akuwekee na ndizi mbili rost,kachumbari na limaoSiyo mbaya mkuu
Leta ufafanuzi zaidi mkuuWeka kwenye hisa za tbl uone maajabu
[emoji23][emoji23][emoji23]Akuwekee na ndizi mbili rost,kachumbari na limao
Wazo zuri naomba Ufafanuzi mkuuWeka kwenye hisa za tbl uone maajabu
Znapatkana wap mkuu na zmetumika kwa mda gan
Nipo mwanza mkuuWewe unapatikana wapi pikipiki zipo 1.2 unapata pikipiki nzuri kabisa
Used znazingua mkuuMvue mtu bajaji used yenye hali nzuri halafu ukomae mwenyewe utatoboa.Nadhani bajaji ipo kwenye usalama kuliko Toyo.
Nipo mwanza mkuu
principle 1: tumia asset kuzalisha liability
Mmmh! naamn katka biashara ila ningepata mchanganuo wahili ingependeza naamn inawezekanaHiyo 3m wekeza tu kwenye nyumba alafu 1.5m unipe Mimi..upate faida ya 5m kwa miezi miwili tu..[emoji12]
Hiyo 3m wekeza tu kwenye nyumba alafu 1.5m unipe Mimi..upate faida ya 5m kwa miezi miwili tu..[emoji12]
😂😂😂😂Ha ha ha umenikumbusha mambo ya DESI watu walivyokuwa wanatapeliwa kwa kupanda mbegu,..matokeo yake mbegu hazikuota
Mchango mzuri sana mkuuHuu uuzi ni kipimo cha akili ya watanzania.Watanzania wengi huamini kujenga nyumba ndio mafanikio ktk maisha.Warabu na wahindi huamini ktk uwekezaji.Watanzania wengi wamekosa somo la ujasiliamali hivyo huishi ktk mazoea.
Nyumba zinawafaa wastaafu, au real estate entrepreneur sio tu kujenga utegemee utatoboa.Hapa ni watu wawili tu ndio nimeona wanasilka ya ujasiliamali.
Binafsi sijawahi ona mtu anaemiliki boda yeye mwenyewe akafeli bali anapokabidhi vichaa.Boda ya kwako haina hasara. Ktk watu 10 ni wangapi wanavunjika miguu kwa mwaka? Yani watu wamekalia kutishana badala ya Ku analyse faida na hasara nyumba italeta sh.kwa mwaka na boda italeta sh.ngapi.
Kama huna uzoefu Fanya mchanganuo, tafuta mtu anaemiliki boda kaeni mjadili,achana na mawazo ya vitisho.